TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

Yes lakini wawe na leseni kutoka nchi husika, tanzania inaruhusu 12 foreign players,morocco 4....sasa mnataka 13 wa nini
Yanga ilishamtoa kambole,hivi unajua kisinda ni hao tff wamemuombea ITC na ashapata,kuna sbb ambayo tff jana ndio wameamua kuikomoa Yanga kwenye hili suala na siwezi kuziweka hapa,lakini kabla ya hapo walikua bega kwa bega maana Yanga wako sahihi
 
Wananchi ingieni barabarani viongozi wenu wako makini sana sema mnahujumiwa sana
 
hakukuwa na trick ndiyo maana Simba iliongeza wachezaji wengine kama vile yule beki Muduwa na mmoja simkumbuki jina waliosajiliwa kucheza michuano ya CAF tu na siyi ligi kuu.
Ni chikwede ambae aliombewa acheze match za ndani kwani caf alishschezea platnum,so kahata akatolewa kwenye match za ndani akabaki za caf
 
Ndugu, hoja ya TFF ni kwamba hata kama CAF wanaruhusu wachezaji wa kigeni zaidi ya 12 kwenye michuano yao; wao TFF hawataki wazidi 12!.

Issue ni kanuni hii ya TTF inaweza override kanuni ya CAF kwenye michuano ya CA?

Naomba nijibiwe hapa.
Inaweza kwani kulingana na kanuni za Caf mchezaji atasajiliwa tu Caf endapo pia ameshasajiliwa kutumikia ligi husika kwahiyo kama ligi yako inaruhusu wachezaji 12 wewe ukasajili 13 maana yake huyo mmoja atakosa usajili wa ligi ya ndani hivyo automatically anakosa sifa za kusajiliwa na Caf

Kilichopo hapa ni watu kuchanganya na michuano ya Caf 2021 ambapo Caf iliruhusy kusajili wachezaji zaidi hata kama watakuwa hawajasajiliwa kwenye mashirikisho yao ili timu zisiathirike na kushindwa kucheza mechi endapo wachezaji kadhaa wamekosekana kutokana na maambukizi ya Covid 19.
 
Wananchi ingieni barabarani viongozi wenu wako makini sana sema mnahujumiwa sana
Soma kiumakini hiyo
 
Elewa concept ya mleta mada. Mfano wake hauhusiani na Covid na hata 2021 haikuhusiana na Covid. Anachoongelea ni Chikwende kuruhusiwa kucheza ndani na kumtoa Kahata kubaki na mashindano ya nje pekee. Hiki ndo Yanga walichokifanya kwa sasa kumtoa Kambole ndani na kumbakiza nje pekee kisha kumleta Kisinda ndani na nje badala yake. Tofauti unaiona wapi hapo?
kwa hiyo mnawaiga simba??? puaaa puaaaaaaa utopolo hamna akili mmebeba makamasi tu hilo bakuli la kichwa.
 
Mwaka huo kanuni zilikuwa zinaruhusu wachezaji 12 CAF na wachezaji 10 wa ligi ya Bara, kwa hiyo ukipeleka majina ya wachezaji 12 TFF inabidi useme nani akatwe. Kanuni za mwaka huu zimebadilika kwa upande wa TFF, na zimeruhusu kusajili wachezaji 12 sawa na wa CAF. Sasa ukipeleka majina 13, huyo aliyezidi atacheza ligi gani? Na kama haujasema nani akatwe, si anakatwa wa mwisho? Au ulitaka TFF ichague yeyote ili Tuisila aingizwe, je TFF ingemchagua Mayele, si mngeenda hadi kwa Mama Samia? Kwa nini msikate wenyewe?
weee waache wajifanye wajuaji tutamkata mayele na hamna kitu watatufanya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali linakuja kwanini Kahata jina lake lilikatwa kwenye ligi ya ndani!? Au kwanini Chikwende hakusajiliwa kucheza mechi za kimataifa!?
Kwa uelewa wangu mdogo, ligi yetu inahitaji wachezaji 12 wa kigeni ambao hao ndo watakaoiwakilisha timu katika mashindano yote ya ndani na ya nje. Tukija kwenye sakata la kahata na chikwende ni kwamba simba haikuzidisha idadi ya wachezaji wa kigeni kwa sababu kwa ligi ya ndani na mashindano ya nje walikuwa nao 12 wale wale, ila utofauti ulikuwa ni kwa ligi ya ndani mchezaji wa 12 alikuwa chikwende ambapo ingetokea akacheza mashindano ya nje timu ingeadhibiwa kwa kuchezesha mamluki hivyo hivyo kwa kahata ambae angetokea akacheza ligi basi timu ingekatwa point
 
Unapotoa hoja Uwe unajua ukweli wa unachoongea vinginevyo utaonekana kituko.. CAF haina idadi ya wachezaji wangapi wawe wa ndani wangapi wawe wa nje. Mwaka huu kutokana na Uviko timu imeruhusiwa hadi wachezaji 40 na si 12 kama unavyosema.
muuuueeee huyo mtopolo, hayanaga akili haya makitu
 
Soma kiumakini hiyo
Hapa inakuhitaji uwe kichwa ngumu tu ndiyo ushindwe kuelewa. Au uelewe lakini uamue kuwa mbishi ili kulinda ufalme wa kwenye vijiwe vya mijadala.
 
Point iliyopo hapa ni kwamba wachezaji wa kigeni wao walikuwa wameshasajiliwa na kupewa leseni mapema kabisa ili kuwasaidia kwenye usajili wa CAF sasa inapotokea tena unataka kusajili upya it means usajili wako uta affect hadi usajili wa CAF
 
lilitolewa ili wabaki wachezaji 10 tu wa kigeni kucheza ligi kuu kama kanuni zao (TFF) zinavyotaka.
Muda unaoutumia kuwaelewesha hao jamaa ni vema ukautumia kumfundisha ng'ombe kukokotoa hesabu atakuelewa mapema kuliko hao jamaa.
Kwanza ni wagumu wa kuelewa halafu wepesi wa kusahau.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huo kanuni zilikuwa zinaruhusu wachezaji 12 CAF na wachezaji 10 wa ligi ya Bara, kwa hiyo ukipeleka majina ya wachezaji 12 TFF inabidi useme nani akatwe. Kanuni za mwaka huu zimebadilika kwa upande wa TFF, na zimeruhusu kusajili wachezaji 12 sawa na wa CAF. Sasa ukipeleka majina 13, huyo aliyezidi atacheza ligi gani? Na kama haujasema nani akatwe, si anakatwa wa mwisho? Au ulitaka TFF ichague yeyote ili Tuisila aingizwe, je TFF ingemchagua Mayele, si mngeenda hadi kwa Mama Samia? Kwa nini msikate wenyewe?
Na wakwanza kwenye list alikuwa Mayele, TFF ingemkata huyo muda huu wananchi wangekuwa wamejazana pale karume na mabango ya #hatumtakikaria
 
Kwahiyo hao Mashabiki wao hata kale kaufahamu ka kujua tu kwamba hapa viongozi wetu wamechemka wao hawana ?

Basi , kama ni hivyo haji keshawaona ni mazezeta anajidanganyia kadri anavyoweza.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Haji anawaburuza kweli hawa mburula,si unaona hata argument zao zina base kwenye upotoshaji wa Haji.
 
Back
Top Bottom