CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mpumbavu mwenyewe makosa ya viongozi wenu kujifanya wajuaji mnatukana ovyo. Nendeni CAS kama mnaona mumeonewa. Bwege mtozeni wewe. Mnafikiri kutumia lugha chafu ndiyo mnapata suluhu?Wewe mpumbavu unajua ITC inaombwa na chama cha soka nchi husika,kwanini tff waliridhia kumuombea ITC kisinda kutoka berkane then leo wageuke,na ikiwa kambole hajapeleka malalamiko yoyote tff?