TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

Matusi hayata ifanya Simba isifike uwanjani mnachotakiwa andaeni timu.
Tunaitaji tuone kashkashi za Mpanzu na zile taarabu zenu uwanjani.
Kwa timu ipi sasa uliyonayo? Hii hii iliyotobolewa na Tabora United na Azam? Kisha ikaenda kuishia Makundi kule CL?
 
Majukumu tu ila hata natamani sana kurudi shule kuwa mwanasheria..hata nisipoajiriwa. sema sina uwezo...mda umeniacha.
 
Hizo mbinu zenu za kupanga safu ya uongozi wa tff kupitia rushwa za gsm kmstaafu na madelu umeula wa chuya mabwege ninyi
 
Thimba leteni timu 25/6 hizo zingine ni paukwa pakawa tu hazina hata tija. Poleni na lengo lenu la kumkimbia Yanga halitafanikiwa...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…