TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

5.The deputy Minister of Sports, Mwana FA called for the gates of of Kwamkapa Stadium not to be opened so that his favourite team, Simba Sports Club aka Kolo Dunduka would have a reason to boycott the derby to avoid a humiliating defeat from Watoto wa Jangwani Young Africans Sports Club
 
7.The government has intervened in football by providing flights and subsistence allowances for their trip to South Africa and Morocco. Also they benefited with so called mother's goal as well as covering the cost of the New Amaan Complex for the LA AKINA MAMA CUP FINAL.
 
Mo Dewji itakuwa amecheck rafiki yake Patrice motsepe yule mwenye Mamelodi ya S. A mana ni Rais wa Shirkisho la Soka africa na Kumueleza izi Concern azifikishe FIFA, Mana mo hajawa satified kabisa na zile sarakasi za Kina GSM pale state house juzi
 
Ingekuwa na nguvu kama TFF na bodi ya ligi wangelalamika kuingiliwa na Serikali.
FIFA watafika TFF na TFF watamwambia sisi tuko huru wala hakuna serikali iliyotuungilia
FIFA sio wajinga eti waondoke na maaumzi tu ya hao viongozi wa TFF hapana wao pia wanaelewa pressure ambayo wanapata hao viongozi wa TFF kutoka kwenye mamlaka ivo investigation yao itahusisha stakeholders wengi
 
FIFA sio wajinga eti waondoke na maaumzi tu ya hao viongozi wa TFF hapana wao pia wanaelewa pressure ambayo wanapata hao viongozi wa TFF kutoka kwenye mamlaka ivo investigation yao itahusisha stakeholders wengi
Hiyo haipo
Hapo ingekuwa TFF wanalalamika kuingiliwa na Serikali hapo sawa
Kama. Kenya walifungiwa pale waziri wa michezo alipomfukuza ofsini Rais wa Federation
 
Sasa hapa ndio naanza kuamini kama soka letu linakua huwezi kuita ligi yetu kubwa bila kupitia misokosuko kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…