Mbona humu mitandaoni tunajadili sana siasa mkuu kwanini hupendi wengine kujadili mpira?Naunga mkono hoja.
Mitanzania kutwa kucha niku discuss mpira, mpira, mpira redio zote na Television zote.
CCM siku hizi mishipa ya aibu na utu imekatikaNimewaza hivyo pia.
KabisaaaCCM siku hizi mishipa ya aibu na utu imekatika
Hiyo mijitu isiyojua mambo ya diplomasia ni shida sana Mkuu.Muliro atawakamata na kuwalawiti kisha akawatupe pale terminal 3 kama kawaida yake.
Kwamba haiwezekani mtu kuhoji mambo muhimu na hapo hapo akawa anafuatilia burudani ya mpira?Hata mimi napendekeza maana mpira umekuwa ndo kila kitu kila kitu mpira u awekwa mbele tunashindwa hata kuhoji mambo ya muhimu
Mie nijue vp wakati wewe ndio uliyehesabu hadi ukahitimisha kuwa nakufuatilia.Unajua mwenyewe tulikotoka jana hadi leo. Karibu sana jandoni.
Waambie wasipoteze muda wao kuja kuchunguza mgogoro ambao chanzo chake kikuu ni Wallace Karia! mwanasiasa mpenda rushwa na sifa, mtu mwenye maneno ya shombo, mlezi wa simba, na kada wa ccm!Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?
FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.
FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 kabla ya kutoa tathmini yake na maamuzi.
Alafu tukifungiwa wewe utakua umefaidika nini au unadhhani unamkomoa nani?.Maana hao wa ikulu unaowachukia wao wataendelea na maisha yao kama kawaida je vip kuhusu vijana na wachambuzi wanaopata ridhiki kupitia mpira?.Unadhani ni wananchi wangapi wakawaida kuanzia wa vibanda umiza hadi wauza karanga viwanjani wataathirika kwa hayo maamuzi.Mimi sijaona kisa la viongozi wakisiasa kwasababu lengo nikurekebisha wao kama walezi ila watu mnafikiri wao ndio waathirika.Waulizeni kenya walivyofungiwa hadi wanakuja kufunguliwa hali ilikuaje.Bora tufungiwe maana Kila maamuzi yanatoka ikulu
Haa Haa Mpaka Mwana FA Akose KaziNa hapo bado Tutazidi kuwatumia email fifa Kila siku mpaka tufungiwe
Unahoji kitu gani wakati Mama yenu anawatumia kama unga wa ngano pumbavu zenuKwamba haiwezekani mtu kuhoji mambo muhimu na hapo hapo akawa anafuatilia burudani ya mpira?
CAF gani walitoboa?Watoboe kwenye CAF na FIFA, washindwe kwa TFF? mbna ajabu hii, Lol
Usisahau pia match fixing yanga anashinda dhidi ya prisons na prisons anashinda dhidi ya SingidaWakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?
FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.
FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 kabla ya kutoa tathmini yake na maamuzi.
Prison siku zote anafungwa na Yanga, Ni kama Simba anavyo fungwa na Yanga Sasa inakuwaje metch fixing!!!Usisahau pia match fixing yanga anashinda dhidi ya prisons na prisons anashinda dhidi ya Singida
Ushabiki wa simba na yanga umekuwepo kabla hata Samia hajafikiria atakuja kuwa rais.Unahoji kitu gani wakati Mama yenu anawatumia kama unga wa ngano pumbavu zenu
Naona makolo mnaumia sana. Hata tukifungiwa sawa tu,hatuwezi kukubali uzwaza uliofanyika kupitia kuhairishwa derby march 8,maamuzi mabovu ya waamuzi kama Jafeth Smart, Kefa Kayombo na wengine.Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?
FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi.
FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 kabla ya kutoa tathmini yake na maamuzi.
Faida Ya kufurahiTukifungiwa wewe utapata faida gani?
Hii hapa Media@fifa.orgMkuu naomba na Mimi email niandike kizungu
Email address hii hapa Media@fifa.orgKi ukweli tukifungiwa maswala ya mipira ukombozi utakuwa umefika Tanzania
Natamani sana jambo hili
No reforms no election