Wanapaswa kupeleka malalamiko sio wachezaji kwasababu hao ni waajiriwa tu. Wanaopaswa kulalamika ni uongozi wa KMC hapo ndipo nilipo maanisha kuwa hawawezi kulalamika maana ni sehemu ya serikaliTumia akili, timu kuwa ya serikali sio hoja. Wachezaji ni professional
Bora hata ungealikwa wewe
Ss ulitegemeaa mtt awe mkubwa kuliko bbFifa hii hii walioruhusu Chelsea iwe na Hari ngumu kisa siasa? Urusi amefungiwa kisa masuala ya kisiasa kwahiyo TFF anaangalia anachofanya baba ake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
JF ikianzisha kapu la wajinga litajaa pomoni maana mko wengi kama wewe.Yanga ni timu ya wananchi,
KMC ni timu ya serikali,
Samia ni Rais wa nchi,
Kikwete ni Rais mstaafu
Uwanja ni wa serikali
TFF ni taasis ya serikali
Wewe kidampa wa makolo unaumia nini?
Vita ni siasa?Fifa hii hii walioruhusu Chelsea iwe na Hari ngumu kisa siasa? Urusi amefungiwa kisa masuala ya kisiasa kwahiyo TFF anaangalia anachofanya baba ake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watajiju, michezo ni furaha, taifa hili limepitia kipindi kigumu sana zama za kichaa mpya mwendachato! wacha tuchanganyike tufurahi kupitia michezo; kama hujui vilabu kubwa nchi hii, Yanga, Sunderland (Simba) za Dar, African sports na Coastal union za Tanga na African football club ya zanzibar vilianzishwa kwa malengo ya kisiasa! Wacha tufurahi jamani kupitia njia yoyote, Kichaa mpya Magufuli alitugawa sana na kuumiza taifa hili sana, mshamba, limbukeni yule! Asante Mungu kwa kazi kubwa na nzuri uliyotutendea! [emoji2]Kuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Elewa mantiki ya hoja. Ugeni rasmi sio shida, tatizo kuleta mikutano ya siasa uwanjani na kuingilia ratiba ya mchezo
Kuna Vita au uvamizi? Libya wakati amevamiwa na NATO ukiona Libya wamefungiwa? Syria, Israel na kwingineko Kuna mapigano umewahi kusikia wamefungia?Vita ni siasa?
Kama we ni timu Mikia pole ndio mawazo yenu potofu, Rage hakukosea kuwaita MbumbumbuWadau, nadhani mmesoma ujumbe kwenye mechi ya yanga na kmc kwenye jezi ya yanga , hapa siasa haijaingiliaa mpira?
Naombeni msada , hapa fifa hawawezi tupiga rungu la adhabu?
Hii ya leo ni Mara ya kwanza kuona, Hadi timu inavaa jezi ya picha ya raisi????Mbona mnateseka Makolo,kipindi cha Jiwe na wakina Ndugai wanaketa siasa mpirani mbona mlikaa kimya?
Ndio mkuu ni historiaaa hiiiHii ya leo ni Mara ya kwanza kuona, Hadi timu inavaa jezi ya picha ya raisi????
Kidogo niandike uzi, mama kawa kama mungu sasa. Wamesahau siasa inaweza ikawagawa washabiki wa mpiraKuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Aalichofanya JK Ni kampeni ile, haikua sawa kabisa. Na hii ni.mara ya kwanza kuona hiko kituNyinyi watu mnalalamika sana. Binafsi sijaona kosa la JK.