TFF Kuruhusu Siasa Michezoni ni Ushamba wa Hali ya Juu

TFF Kuruhusu Siasa Michezoni ni Ushamba wa Hali ya Juu

Tumia akili, timu kuwa ya serikali sio hoja. Wachezaji ni professional
Wanapaswa kupeleka malalamiko sio wachezaji kwasababu hao ni waajiriwa tu. Wanaopaswa kulalamika ni uongozi wa KMC hapo ndipo nilipo maanisha kuwa hawawezi kulalamika maana ni sehemu ya serikali
 
Vipi kama angealikwa Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa! Maana Watanzania kwa double standard tu, hatujambo.
Elewa mantiki ya hoja. Ugeni rasmi sio shida, tatizo kuleta mikutano ya siasa uwanjani na kuingilia ratiba ya mchezo
 
Yanga ni timu ya wananchi,
KMC ni timu ya serikali,
Samia ni Rais wa nchi,
Kikwete ni Rais mstaafu
Uwanja ni wa serikali
TFF ni taasis ya serikali

Wewe kidampa wa makolo unaumia nini?
JF ikianzisha kapu la wajinga litajaa pomoni maana mko wengi kama wewe.
 
Kuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Watajiju, michezo ni furaha, taifa hili limepitia kipindi kigumu sana zama za kichaa mpya mwendachato! wacha tuchanganyike tufurahi kupitia michezo; kama hujui vilabu kubwa nchi hii, Yanga, Sunderland (Simba) za Dar, African sports na Coastal union za Tanga na African football club ya zanzibar vilianzishwa kwa malengo ya kisiasa! Wacha tufurahi jamani kupitia njia yoyote, Kichaa mpya Magufuli alitugawa sana na kuumiza taifa hili sana, mshamba, limbukeni yule! Asante Mungu kwa kazi kubwa na nzuri uliyotutendea! [emoji2]
 
Elewa mantiki ya hoja. Ugeni rasmi sio shida, tatizo kuleta mikutano ya siasa uwanjani na kuingilia ratiba ya mchezo

Kwani Siasa ni nini? Tuanzie hapa kwanza, ili kuipata hiyo mantiki yako yenyewe unayo itaka.

Maana hata kwenye hotuba yenyewe kaongelea mafanikio ya timu za wanawake, na kutoa ushauri kwa timu pendwa ya wanaume kuongeza bidii.

Sema tu mna hasira na JK kisa ni mshabiki wa Yanga. Hakuna hoja nyingine zaidi ya hiyo. Na kama ni suala la kuingilia ratiba ya mchezo uwanjani! Hilo liko juu ya uwezo wako.
Hivyo hata kama utalalamika au kukasirika, bado haitasaidia kitu. Kama mgeni rasmi, alikuwa na haki ya kufanya hivyo.
 
Vita ni siasa?
Kuna Vita au uvamizi? Libya wakati amevamiwa na NATO ukiona Libya wamefungiwa? Syria, Israel na kwingineko Kuna mapigano umewahi kusikia wamefungia?

Kwanza neno Vita wewe umelitoa wapi maana kila sehemu wanasema STOP INVERSION au wewe unatafsiri Kama Vita.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wadau, nadhani mmesoma ujumbe kwenye mechi ya yanga na kmc kwenye jezi ya yanga , hapa siasa haijaingiliaa mpira?

Naombeni msada , hapa fifa hawawezi tupiga rungu la adhabu?
 
Hakuna siasa yoyote ile. Hivyo endelea na maisha kama kawaida. Na hata hiyo FIFA yenyewe unayo ihofia kutufungia, kwa sasa ipo ICU huko Ukraine.

Yaani inapigwa mabomu ya kufa mtu na Putin.
 
Wadau, nadhani mmesoma ujumbe kwenye mechi ya yanga na kmc kwenye jezi ya yanga , hapa siasa haijaingiliaa mpira?

Naombeni msada , hapa fifa hawawezi tupiga rungu la adhabu?
Kama we ni timu Mikia pole ndio mawazo yenu potofu, Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu
 
Kuruhusu kumuita JK eti maazimisho ya Samia na kuharibu ratiba ya muda wa ligi na kuwatoa KMC kwenye mood ya mchezo sio jambo la haki. JK ni mwana Yanga sasa hapo ni sawa?
Kidogo niandike uzi, mama kawa kama mungu sasa. Wamesahau siasa inaweza ikawagawa washabiki wa mpira
 
Aalichofanya JK Ni kampeni ile, haikua sawa kabisa. Na hii ni.mara ya kwanza kuona hiko kitu
Wao wanabisha tuu, hii inaweza kuleta madhara kama italeta complaining baadae.
 
Back
Top Bottom