TFF mnachokitafuta soon mtakipata

TFF mnachokitafuta soon mtakipata

Mtu aje na taarifa kamili.

Mshitakiwa (tff) hajatoa sababu,

Mshitaki (yanga) hawajatoa sababu,

Wadau hawajajua sababu.

Tusubiri tujue mbivu na mbichi.
 
IMG-20220904-WA0012.jpg
 
Kama ni kweli basi TFF wanatupeleka pabaya. Taarifa za awali ni kwamba Yanga walipeleka jina la Kisinda TFF toka August 30. Siku hizi mambo ni rahisi sana hata saa moja tu inatosha kukamilisha uhamisho na usajili wa mchezaji.

Hakuna namna unaweza kuustawisha mpira wa Tanzania huku ukiyakanyaga maslahi ya Yanga au Simba, vinginevyo na wao wataihujumu tu TFF.
Kwa wale ambao mlishawahi kuongoza taasisi mnajua, wakati mwingine unalazimika kushirikiana na hasimu au taasisi usiyo ipenda kwa sababu tu sheria na taratibu zinakutaka ufanye hivyo. Maadam Club anayo toka mchezaji walimruhusu kuondoka Club kubwa kama Yanga sidhano kama walishindwa kukidhi masharti ya usajili.

TFF wawe wanafanya mambo kama watu wazima na wasomi, visasi viiishie kuwa kati ya mtu na mtu siyo taasisi na taasisi kwa sababu siamini kama TFF wataiweza Yanga.
 
Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Marekebisho yapi unayoyaongelea wewe mchezaji ITC anayo na tulipeleka majina masaa7 before dirisha kufungwa na TFF wakaridhia kuwa hakuna makosa kila kitu kipo sawa wamesubiri dirisha limefungwa ndio wanamkataa kisinda ..Trust me youre days is numbered.
 
Na ana uhakika upi kwamba hao viongozi wao walifanikiwa kutuma hilo jina kwa vigezo na wakati?
Viongozi wa yanga wanafahamu taratibu na sheria zote kuhusu taratibu za usajili majina yalipelekwa masaa7 kabla dirisha kufungwa na TFF wakajiridhisha kuwa amna mapungufu tunashangaa baada ya dirisha kufungwa jina la kisinda wamelikata.
 
Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 .YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.

Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 SAA 5:59 usiku.

View attachment 2346142
Tatizo la yanga inaongozwa na watu janjajanja wasiojua lolote. Kanuni ianitaka timu kusajili wachezaji 12 wa kigeni ila yanga wanataka yapite majina 13.
 
Ha
Viongozi wa yanga wanafahamu taratibu na sheria zote kuhusu taratibu za usajili majina yalipelekwa masaa7 kabla dirisha kufungwa na TFF wakajiridhisha kuwa amna mapungufu tunashangaa baada ya dirisha kufungwa jina la kisinda wamelikata.
Hawafahamu kitu... Si viongozi hao hao walipeleka kesi ya Morrison CAS? Si haohao walifanya kazi na manara akiwa kafungiwa? Na si ndio haohao wanavunja kanuni kwa kupeleka majina 13 ya kigeni?
 
Tatizo la yanga inaongozwa na watu janjajanja wasiojua lolote. Kanuni ianitaka timu kusajili wachezaji 12 wa kigeni ila yanga wanataka yapite majina 13.
Jifunze kuwa na akili basi na wewe!!
 
Hii ni dhuluma ya wazi kabisa sijajua lengo lao ni nini? Hivi yanga ikifanya vizuri kimataifa sifa si zinakuwa za nchi wanafanya aya makusudi kwa kinachoendelea huko jikoni kwa viongozi wa yanga kama ili likipita hivi hivi Karia huu mwaka hamalizi madarakani.
Mambo kama haya ndio maana mtasubiri sana mpira kukua nchi hii yaani kila kitu mnaweka siasa tu!!za usimba na u yanga.Na shida yenu yanga msipokuwa makini huyo rais wenu atawafanya muonekane kama HAMNAZO!!Tatizo ana lileta yeye harafu kwa kuwa hamjitambui anajua kabisa, mtaanza kuwapa lawama TFF.Sheria iko wazi juu ya usajiri wa wachezaji wa kigeni kuwa wasizidi 12, Yanga hadi dirisha linafungwa walikuwa wangapi?yaani mnasajiri mchezaji mwingine wakati hao waliozidi bado hamjafanya uamuzi wa kuwaacha!!!?WAKATI MWINGINE KATAENI KUONEKANA MAZOMBI.
 
Back
Top Bottom