Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitwa makalio?Hivi kweli kila siku ni yanga tu ndio wanaonewa? Nadhani wanayanga wanamaisha ya ajabu Sana hata majumbani mwao.
We ni pakunyea tu.Unaitwa makalio?
Marekebisho yapi unayoyaongelea wewe mchezaji ITC anayo na tulipeleka majina masaa7 before dirisha kufungwa na TFF wakaridhia kuwa hakuna makosa kila kitu kipo sawa wamesubiri dirisha limefungwa ndio wanamkataa kisinda ..Trust me youre days is numbered.Mambo yakufanya vitu dakika zamwisho yn siku zote hizo mlikuwa mnagalauka mnasubiri siku ya mwisho tena usiku ndio mnakimbia kimbia na vibahasha aya sasa mapungufu tuliyoyaona tukawaambia mkayarekebishe mumeyarekebisha time out
Viongozi wa yanga wanafahamu taratibu na sheria zote kuhusu taratibu za usajili majina yalipelekwa masaa7 kabla dirisha kufungwa na TFF wakajiridhisha kuwa amna mapungufu tunashangaa baada ya dirisha kufungwa jina la kisinda wamelikata.Na ana uhakika upi kwamba hao viongozi wao walifanikiwa kutuma hilo jina kwa vigezo na wakati?
Tatizo la yanga inaongozwa na watu janjajanja wasiojua lolote. Kanuni ianitaka timu kusajili wachezaji 12 wa kigeni ila yanga wanataka yapite majina 13.Kama heading inavyojieleza. YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.
Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.
Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 .YANGA NA TFF KIMENUKA UPYA.
Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya September 5,2022 jina la Winga wa Kimataifa wa DR Congo [emoji1078] na Klabu ya Yanga SC [emoji1241],Tuisila Kisinda halijaorodheshwa kwenye orodha ya Wachezaji watakaokitumikia Kikosi Cha Yanga SC [emoji1241] Kwa Msimu wa 2022/23.
Mpaka sasa haijawekwa wazi sababu za Nyota huyo kutoonekana jina lake kwenye Mfumo wa Usajili wa TFF licha ya Klabu ya Yanga kupeleka jina lake kabla Dirisha la Usajili halijafungwa August 31 SAA 5:59 usiku.
View attachment 2346142
Hawafahamu kitu... Si viongozi hao hao walipeleka kesi ya Morrison CAS? Si haohao walifanya kazi na manara akiwa kafungiwa? Na si ndio haohao wanavunja kanuni kwa kupeleka majina 13 ya kigeni?Viongozi wa yanga wanafahamu taratibu na sheria zote kuhusu taratibu za usajili majina yalipelekwa masaa7 kabla dirisha kufungwa na TFF wakajiridhisha kuwa amna mapungufu tunashangaa baada ya dirisha kufungwa jina la kisinda wamelikata.
Pakunyea ndio jina lako?We ni pakunyea tu.
Ukawaamini kabisa viongozi hao?Yaleyale ya Morrison!Viongozi wa yanga wanafahamu taratibu na sheria zote kuhusu taratibu za usajili majina yalipelekwa masaa7 kabla dirisha kufungwa na TFF wakajiridhisha kuwa amna mapungufu tunashangaa baada ya dirisha kufungwa jina la kisinda wamelikata.
Ni vyema waende na wale vyura na dimbwi lao mkuu...wasisahau kitu...Wasisahau kubeba na makopo yao yote.[emoji23][emoji23][emoji23]
Jifunze kuwa na akili basi na wewe!!Tatizo la yanga inaongozwa na watu janjajanja wasiojua lolote. Kanuni ianitaka timu kusajili wachezaji 12 wa kigeni ila yanga wanataka yapite majina 13.
Wamekuwa walalamishi balaa!Ni vyema waende na wale vyura na dimbwi lao mkuu...wasisahau kitu...
Nimekosea wapi mama yangu?Jifunze kuwa na akili basi na wewe!!
Mambo kama haya ndio maana mtasubiri sana mpira kukua nchi hii yaani kila kitu mnaweka siasa tu!!za usimba na u yanga.Na shida yenu yanga msipokuwa makini huyo rais wenu atawafanya muonekane kama HAMNAZO!!Tatizo ana lileta yeye harafu kwa kuwa hamjitambui anajua kabisa, mtaanza kuwapa lawama TFF.Sheria iko wazi juu ya usajiri wa wachezaji wa kigeni kuwa wasizidi 12, Yanga hadi dirisha linafungwa walikuwa wangapi?yaani mnasajiri mchezaji mwingine wakati hao waliozidi bado hamjafanya uamuzi wa kuwaacha!!!?WAKATI MWINGINE KATAENI KUONEKANA MAZOMBI.Hii ni dhuluma ya wazi kabisa sijajua lengo lao ni nini? Hivi yanga ikifanya vizuri kimataifa sifa si zinakuwa za nchi wanafanya aya makusudi kwa kinachoendelea huko jikoni kwa viongozi wa yanga kama ili likipita hivi hivi Karia huu mwaka hamalizi madarakani.