TFF, mpaka leo hii tukio la Gamondi kumpiga kiongozi wa Singida Black Stars hakuna hatua zozote wala uchunguzi. Kuna nini?

Natumia uko unafurahia anniversary ya mwaka 1 tangu Manara wa 5G upande
Tukio lilikuwa tarehe 5/11/2023
Au Kuna mtu alipigwa na Gamond siku hiyo?
 
Natumia uko unafurahia anniversary ya mwaka 1 tangu Manara wa 5G upande
Tukio lilikuwa tarehe 5/11/2023
Au Kuna mtu alipigwa na Gamond siku hiyo?
Natumaini mechi ya singida uliifuatilia kwa karibu sana!
 
Waamerika ya kusini ndio maish yao hayo ya vurugu, ubabe nk, huyu anakumbusha tukio la aliyewahi kuwa kocha wa Yanga raia wa Belgium kama sikosei la kutukana wanaYanga.

Haya mambo yanatakiwa kuchukuliwa hatua za haraka na kukemewa kwa nguvu kama ilivyofanyika kwa aliyewahi kuwa kocha wa Taifa stars raia wa Algeria nadhani.
 
Upo sahihi!
 
Ndio nini sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…