TFF, mpaka leo hii tukio la Gamondi kumpiga kiongozi wa Singida Black Stars hakuna hatua zozote wala uchunguzi. Kuna nini?

Natumia uko unafurahia anniversary ya mwaka 1 tangu Manara wa 5G upande
Tukio lilikuwa tarehe 5/11/2023
Au Kuna mtu alipigwa na Gamond siku hiyo?
 
Natumaini mechi ya singida uliifuatilia kwa karibu sana!
 
Waamerika ya kusini ndio maish yao hayo ya vurugu, ubabe nk, huyu anakumbusha tukio la aliyewahi kuwa kocha wa Yanga raia wa Belgium kama sikosei la kutukana wanaYanga.

Haya mambo yanatakiwa kuchukuliwa hatua za haraka na kukemewa kwa nguvu kama ilivyofanyika kwa aliyewahi kuwa kocha wa Taifa stars raia wa Algeria nadhani.
 
Upo sahihi!
 
Naipenda Yanga yangu... Kuanzia Uongozi, Kocha, Wachezaji mpaka Mashabiki hakuna wanyonge. Hivyo ndivyo timu kubwa huwa. Sasa wew ukiwa unaonewa kazi yako kulalamika tuu utazan mwendawazimu tofaut yako na Vitimu vidogo inakuwa nini??? Yanga Bigwa na GSM Kuna timu tatu tayar kashamalizana nazo juu ya udhamin soon tunatangaza
Ndio nini sasa!
 
Back
Top Bottom