kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Wahuni hawawezi kuachwa lazima sheria na adhabu ziwahusu!Wewe ndio imekuuma hadi jazba na husda imekupanda kisa masta gamondi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni hawawezi kuachwa lazima sheria na adhabu ziwahusu!Wewe ndio imekuuma hadi jazba na husda imekupanda kisa masta gamondi
Itafahamika!Hakuna tukio lolote la Gamond ku mpiga mtu yoyote bahati nzuri Ile tuner ya kuingia vyumbani Kuna CCTV Camera.
Punguzen mchecheto Yanga Bingwa.
Natumaini mechi ya singida uliifuatilia kwa karibu sana!Natumia uko unafurahia anniversary ya mwaka 1 tangu Manara wa 5G upande
Tukio lilikuwa tarehe 5/11/2023
Au Kuna mtu alipigwa na Gamond siku hiyo?
Vp anniversary Manara unafurahia auNatumaini mechi ya singida uliifuatilia kwa karibu sana!
Unalipi la kueleza kuhusu mechi ya singida ulifuatilia kwa ukaribu sana na kuhusu nidhamu ya kocha Gamondi na msaidizi wake!Vp anniversary Manara unafurahia au
Gamondi afungiwe mwaka mzima😆Unalipi la kueleza kuhusu mechi ya singida ulifuatilia kwa ukaribu sana na kuhusu nidhamu ya kocha Gamondi na msaidizi wake!
Asifungiwe ila akomeshwe uhuni!Gamondi afungiwe mwaka mzima😆
Afungiwe anatunga 5Asifungiwe ila akomeshwe uhuni!
Shahidi ni jibril sila!Afungiwe anatunga 5
5G inatupa uchizi hadi LeoShahidi ni jibril sila!
Upo sahihi!Waamerika ya kusini ndio maish yao hayo ya vurugu, ubabe nk, huyu anakumbusha tukio la aliyewahi kuwa kocha wa Yanga raia wa Belgium kama sikosei la kutukana wanaYanga.
Haya mambo yanatakiwa kuchukuliwa hatua za haraka na kukemewa kwa nguvu kama ilivyofanyika kwa aliyewahi kuwa kocha wa Taifa stars raia wa Algeria nadhani.
Kuna mwalimu mmoja alisema mashabiki wa uto wanapiga kelele kama nyani!5G inatupa uchizi hadi Leo
Gamond afungiwe
Yaani atafunga 5imba 5G
Rage alikuwa sahihiKuna mwalimu mmoja alisema mashabiki wa uto wanapiga kelele kama nyani!
Manara hakukosea!Rage alikuwa sahihi
Sawa mkuuManara hakukosea!
Yanga wenye akili ni wawili tu maneno ya manara nimenukuu!Sawa mkuu
Enjoy anniversary ya mwaka 1 tangu mnara wa 5G usome pale msimbazi center
Ndio nini sasa!Naipenda Yanga yangu... Kuanzia Uongozi, Kocha, Wachezaji mpaka Mashabiki hakuna wanyonge. Hivyo ndivyo timu kubwa huwa. Sasa wew ukiwa unaonewa kazi yako kulalamika tuu utazan mwendawazimu tofaut yako na Vitimu vidogo inakuwa nini??? Yanga Bigwa na GSM Kuna timu tatu tayar kashamalizana nazo juu ya udhamin soon tunatangaza