Ni vema kujiuliza kama mfumo unafaa katika uboreshaji wa soka , siokika kitu kuiga Kwa wengineGermany,France na Belgium wanatumia kanuni hii kwenye ligi zao.
Ni vyema kutafuta maarifa kabla ya kuandika chochote hapa jukwaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema kujiuliza kama mfumo unafaa katika uboreshaji wa soka , siokika kitu kuiga Kwa wengineGermany,France na Belgium wanatumia kanuni hii kwenye ligi zao.
Ni vyema kutafuta maarifa kabla ya kuandika chochote hapa jukwaani.
so Kila
Elewa kwanza mjadala ulipoanzia kabla ya kukurupuka kumjibu mtu.Ni vema kujiuliza kama mfumo unafaa katika uboreshaji wa soka , siokika kitu kuiga Kwa wengine
Binafsi napingana na wewe. Hapa wameweka sheria hii ili zisije kupanda timu dhaifu kuliko zile zinazoshuka. Ndiyo maana wamezipa fursa na haki timu mbili za juu kupanda moja kwa moja wakati zile zingine zinapimwa na vibonde wenzao ili mwenye uafadhali kati yao ndiyo apande.
Tupe data za miaka 3 iliyopita, playoffs walicheza nani na nani na yupi alipita ili tupate mwanga zaidi kwenye hii mada.
Nyote wavivu wa kusaka data.wewe ndiyo ulipaswa kuja na data za nyuma huko ili kusapoti hoja yako
Acheni utoto jamaa ......kwani Mashujaa siwapo ligi kuu kwa kuwashusha Mbeya City msimu uliopita!Hakuna wa championship aliyetoboa kwenye playoff dhidi ya waligi kuu....tangu hii Kanuni ianze....
Ukijibiwa nistue maana UZI mzma upo hapa.Sasa kama unapigwa na kibonde wa ligi kuu unapanda kwenda kufanya nini? ibaki hivyo hivyo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna timu ya Championship iliyowahi toboa kwenye play off kwa miaka hiyo 3
Nyote wavivu wa kusaka data.
Obliged ...Acheni utoto jamaa ......kwani Mashujaa siwapo ligi kuu kwa kuwashusha Mbeya City msimu uliopita!
Hakuna timu ya Championship iliyowahi toboa kwenye play off kwa miaka
Kila kitu kina faida na Hasara...
Faida
- Kuongeza amsha amsha katika mashindano ya championship timu zinakuwa na kitu cha ku-play for mpaka game ya mwisho bila ya hivyo mbili zikishajulikana watu wataanza kuchukua mlungula mapema na kuuza mechi
Hasara
- Sioni hasara kama wewe umetoka championship na unashindwa kuwafunga vibonde wa premier league maybe you do not afford to be there..., bola vibonde katika vibonde kuliko vibonde zaidi ya vibonde..
wew ambye siyo mvivu kwa nini usilete hapa ili utete hoja yakoNyote wavivu wa kusaka data.
Mashujaa hamkumfunga mbeya City??Hakuna wa championship aliyetoboa kwenye playoff dhidi ya waligi kuu....tangu hii Kanuni ianze....
walimu gani mkuuTangu umeacha kuwasimanga walimu umekuwa na akili sana usikilizwe unakitu utafika mbali
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
mbona nchi kama uingereza wanafanya hivyo na ligi yao ni bora??Huwezi kushusha timu nne kwa mpigo kutoka ligi kuu ili kupandisha timu nne mpya kutoka ligi ya chini. Mwisho wa siku utaua soka kwenye ligi kuu. Wacha timu mbili zipande/kushuka moja kwa moja, na timu zingine mbili zipambanie.
Hiyo ni survive for the fittest.
na wewe umeonesha umbumbumbu ulipaswa kuweka hilo jibu hapa na siyo kushangaa swali weka hilo jibu hapa kwa faida ya woteHii ilishajibiwa na wenye mamlaka..tatizo hatutafuti maarifa na hatufuatilii,sikutegemea kukutana na swali hili humu tena.
Wapi nimelazimisha nchi itumie mfumo kama wa France na Belgium?MPUMBAVU ALIYEKUZAA
huna hoja bali unatumia makamasi kwenye ubongo wako kufikiri kwa nini ulazimishe taifa letu lifuate mfumo wa ufaransa na ubelgij na ukiangalia nchi kama uingereza inatumia mfumo tofauti na ligi inakua bora kuliko nchi hizo ulizozitaja
rejea kwenye hoja yako kisha urudi hapaWapi nimelazimisha nchi itumie mfumo kama wa France na Belgium?
Mtu akisema Tanzania
ndiyo nchi pekee duniani yenye mafisadi, halafu mimi nikamkosoa na kumueleza ukweli kuwa mafisadi wapo hata kwenye nchi nyingine duniani kama Kongo na Ghana, hapo ninakuwa nimelazimisha mafisadi waendelee kuwepo Tanzania?
Ina maana wewe ni MPUMBAVU kiasi kwamba unashindwa kuelewa jambo dogo kama hili ambalo hata mtoto wa darasa la pili analiweza?
Nakumbuka vizuri kila nilichoandika,sasa wewe leta ushahidi wapi nimeandika au kulazimisha nchi hii itumie mfumo wa relegation na promotion kama wa Belgium,Germany na France?rejea kwenye hoja yako kisha urudi hapa
Kazi kuiga tu. Malimbukeni wakubwa nyie. Championship ndiyo nini? Kiingereza chenyewe hamjui, mnajifanya kukariri maneno machache mnayochagua.kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu.
KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi zinastahili pongezi maana siyo kazi nyepesi kutoka championship mpaka kupanda ligi kuu
Na pia nichukue fursa hii kuwashauri (kuwasihi) ndugu KENGOLD FC NA PAMBA FC kuwa ligi kuu ya NBCPL haitaki mbwenbwe za huko mlikotoka bali ligi kuu inahitaji NIDHAMU, UONGOZI BORA, USAJILI MZURI NA BENCHI MAKINI, ligi kuu haitaki mambo ya kuchinja paka, kuchimba chimba uwanja bali ni usajili mzuri na kuwapa morali wachezaji.
Turudi kwenye kichwa cha habari kama kinavyojieleza hapo juu ligi yetu imekua inakipengele cha play off, timu nne za mwanzo katika ligi ya championship timu mbili hupita moja kwa moja lakini mbili zilizobaki hucheza play off bingwa anakwenda kucheza na timu moja wapo ya ligi kuu iliyocheza play off na mwenzie nje ndani na kushinda
HOJA YANGU; timu za ligi kuu zinakua tayali zinauzoefu msuli wa usajili pamoja msuli wa fedha tofauti na championship wanakua ni wa kuunga unga sasa ukiwakutanisha kwenye playoff kwa asilimia kubwa timu inayotoka championship lazima itapigwa tu na timu kutoka ligi kuu itarudi tena wa championship atarudi alikotoka
MAONI YANGU; TFF na Bodi ya ligi inapaswa waliangalie hii sheria hii wa championship wamalizane wao kwa wao a wa ligi kuu pia wamalizane wao kwa wao kuliko wa championship kukutana na wa ligi kuu hhiyo ni ngumu na kwa upande mwingine ni uonevu tu