TFF na Bodi ya ligi inapaswa kubadili sheria ya timu ya ligi kuu kucheza play off na timu ya championship

Germany,France na Belgium wanatumia kanuni hii kwenye ligi zao.
Ni vyema kutafuta maarifa kabla ya kuandika chochote hapa jukwaani.
Ni vema kujiuliza kama mfumo unafaa katika uboreshaji wa soka , siokika kitu kuiga Kwa wengine
 
Ni vema kujiuliza kama mfumo unafaa katika uboreshaji wa soka , siokika kitu kuiga Kwa wengine
Elewa kwanza mjadala ulipoanzia kabla ya kukurupuka kumjibu mtu.
Sipo hapa kujadili ubora au udhaifu wa mfumo tajwa.Nipo hapa kumsahihisha kishumbaz aliyedai kuwa mfumo tajwa unatumika Tz pekee wakati kiuhalisia unatumika hata kwenye ligi kubwa duniani kama Bundesliga na Ligue 1.
Kama huo mfumo ni mzuri au mbaya hiyo sio biashara yangu.
Narudia tena,usikurupuke kumjibu mtu bila kujua mjadala ulipoanzia.
 

wewe ndiyo ulipaswa kuja na data za nyuma huko ili kusapoti hoja yako
Nyote wavivu wa kusaka data.
 
Hakuna wa championship aliyetoboa kwenye playoff dhidi ya waligi kuu....tangu hii Kanuni ianze....
Acheni utoto jamaa ......kwani Mashujaa siwapo ligi kuu kwa kuwashusha Mbeya City msimu uliopita!
 
Huwezi kushusha timu nne kwa mpigo kutoka ligi kuu ili kupandisha timu nne mpya kutoka ligi ya chini. Mwisho wa siku utaua soka kwenye ligi kuu. Wacha timu mbili zipande/kushuka moja kwa moja, na timu zingine mbili zipambanie.
Hiyo ni survive for the fittest.
 
Hakuna timu ya Championship iliyowahi toboa kwenye play off kwa miaka


Nyote wavivu wa kusaka data.
wew ambye siyo mvivu kwa nini usilete hapa ili utete hoja yako
 
mbona nchi kama uingereza wanafanya hivyo na ligi yao ni bora??
 
Hii ilishajibiwa na wenye mamlaka..tatizo hatutafuti maarifa na hatufuatilii,sikutegemea kukutana na swali hili humu tena.
 
Hii ilishajibiwa na wenye mamlaka..tatizo hatutafuti maarifa na hatufuatilii,sikutegemea kukutana na swali hili humu tena.
na wewe umeonesha umbumbumbu ulipaswa kuweka hilo jibu hapa na siyo kushangaa swali weka hilo jibu hapa kwa faida ya wote
 
Wapi nimelazimisha nchi itumie mfumo kama wa France na Belgium?
Mtu akisema Tanzania
ndiyo nchi pekee duniani yenye mafisadi, halafu mimi nikamkosoa na kumueleza ukweli kuwa mafisadi wapo hata kwenye nchi nyingine duniani kama Kongo na Ghana, hapo ninakuwa nimelazimisha mafisadi waendelee kuwepo Tanzania?
Ina maana wewe ni MPUMBAVU kiasi kwamba unashindwa kuelewa jambo dogo kama hili ambalo hata mtoto wa darasa la pili analiweza?
 
rejea kwenye hoja yako kisha urudi hapa
 
rejea kwenye hoja yako kisha urudi hapa
Nakumbuka vizuri kila nilichoandika,sasa wewe leta ushahidi wapi nimeandika au kulazimisha nchi hii itumie mfumo wa relegation na promotion kama wa Belgium,Germany na France?
Najua unaona aibu kukiri kwamba umekurupuka.
 
Kazi kuiga tu. Malimbukeni wakubwa nyie. Championship ndiyo nini? Kiingereza chenyewe hamjui, mnajifanya kukariri maneno machache mnayochagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…