TFF na Bodi ya ligi inapaswa kubadili sheria ya timu ya ligi kuu kucheza play off na timu ya championship

Nakumbuka vizuri kila nilichoandika,sasa wewe leta ushahidi wapi nimeandika au kulazimisha nchi hii itumie mfumo wa relegation na promotion kama wa Belgium,Germany na France?
Najua unaona aibu kukiri kwamba umekurupuka.
andika nilipokurupuka wapi syo unatamka tu
 
Kazi kuiga tu. Malimbukeni wakubwa nyie. Championship ndiyo nini? Kiingereza chenyewe hamjui, mnajifanya kukariri maneno machache mnayochagua.
nini hoja yako au una makasiriko umekuta mkeo wahuni wanasimamia ukucha
 
Kama unataka kupanda daraja na huwezi kupambana na timu inayoshuka daraja na kushinda, huko ligi kuu unakwenda kufanya nini?
 
misimu karibu miwili au mitatu timu inacheza play off ni Dhahiri hii timu inabebwa kwa kua ni wakongwe na ndiyo maana slogani yao kubwa watanzania wawaombee eti wana hali mbaya
Tatizo ni timu kubebwa, , hili ndio linapaswa litatuliwe ili apite anaestahili
sio unataka sheria ibadilishwe kwa kuhofia za championship haztapita,
Kama unapgwa na kibonde sasa upande ligi kuu kufanya nn
Mbona kuna timu znacheza hzo play off na zna pita,
Halafu unaweka maelezo marefu bila data wakat wewe ndio mtoa mada
 
weka data zako ili kusapoti hiyo hoj yako
 
Kama unataka kupanda daraja na huwezi kupambana na timu inayoshuka daraja na kushinda, huko ligi kuu unakwenda kufanya
Unaleta Mada halafu unataka msomaji ndio akuletee data, kama huna data za kusupport mapendekezo yako acha tuendelee na utaratibu tulio nao, Kajipange upya
wewe kwani unataka data gani mbona aueleki unachokitaka wewe
 
kwa mfumo wa kijinga huu tunaokwenda nao lazima timu za ligi zibaki kila msimu mpaka pale watakapobadili mfumo wa play off
 
Mkuu hoja yako imejionyesha. TABORA UNITED 2 BIASHARA MARA 1. Wakati ujao hizi mechi kama zipo watafute Neutral Ground vinginevyo tutakuja kupata msiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…