Hivi nyinyi mnapo waita simba misikule unadhani huwa wanafurahi eti?Utawani wa jadi wa enzi hizo ulikuwa si wakusaka followers kwenye instra ili upige dili la matangazo huku ukiliingiza Taifa kwenye mgogoro wa Uhasama, wizara chukueni hilo mlifanyie kazi ipo siku yatatokea maafa kutokana na chuki huyu jamaa anayoipandikizi kwa kupiga dili, mpira Ni burudani na sio kupandikiza chuki.
NDIO. Nugaz na Manara wote wafungiwe kabisa kujihusisha na sokaMbona Nugaz naye anakera..! Naye adhibitiwe ?
kwa hiyo Manara anaitukana Yanga kwa sababu sio bora, mbona hatumsikii akiitukana Mbeya City, au Namungo?Hapa suluhisho Timu ya Yanga inatakiwa kutengeneza timu BORA na sio BORA timu.
kuna kiongozi wa Yanga amewahi waita hivyo?Manara ndiye huita Simba mbumbumbu?
Mikia?
Kituo cha wazee?
Yanga mnateswa na kiwango Chenu hafifu, Sio kingine
Hersi said-akiita simba kituo cha wazeekuna kiongozi wa Yanga amewahi waita hivyo?