Utopolo tatizo lenu linatibiwa na daktari wa magonjwa ya akili.
Ukiwa na tatizo la magonjwa ya akili huwezi kujua,sana sana utatafuta mtu wa kusingizia.
Tatizo lenu ni la kutopata kile mlichodhani mtapata.Mlikuwa mkitaja Tusila Kisinda,Tonombe,Sarpong..Calinho..mlichanganyikiwa na mlidanganywa timu zitakuwa zinakula goli tano tano tu.
Sasa mmeona kiwango cha mreno wenu sio kile mlidanganywa.Magoli mengi mmefunga mechi moja ni mawili nayo mlihonga.Sasa hasira zote mnasingizia eti mnarogwa na mashabiki wa Simba. Hii ni typical dalili ya ugonjwa wa akili.
Tengenezeni timu nzuri mshinde uwanjani.Bado pia mna wenge la kupigwa vinne.Nami nawaambia safari hii mtapigwa hadi mkaushwe kizazi