TFF na Wizara ya Michezo mdhibitini Hajji Manara ndiye kichocheo cha chuki uhasama wa Simba na Yanga

Upo siku zitapigwa ngumi za kufa mtu muanze kusaka mchawi
 
Manara ndio chimbuko la uhasama na chuki miongoni mwa washabiki wa simba na yanga. Anaongea maneno ya kukera yanayopandikiza chuki badala ya utani
 
Huyo mbwiga apigwe pin.
 
wewe unaustarabu gan
Nyie endeleeni kupuuzia siku likitokea mtaelewa Manara anapandikiza chuki sio utani ni chuki taratibu imeanza kuwaingia watu
 
Bado siku 15 tu tuwazabue tena.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa, yule jamaa ni mshamba anaehamasisha uadui kweny mpira, halafu yy ndo anaropoka eti ni utani, mimi sio shabiki wa simba wala yanga ila anachofanya yule jamaa kimepitiliza, hakuna utani wa vile
 
Hua nacheka sana haswa nikiona video aliyopost ya shabiki wa utopolo mwanaume akikata mauno kama si kuyatingisha
 
pole sana.
 
Sahihi kabisa, yule jamaa ni mshamba anaehamasisha uadui kweny mpira, halafu yy ndo anaropoka eti ni utani, mimi sio shabiki wa simba wala yanga ila anachofanya yule jamaa kimepitiliza, hakuna utani wa vile
Acha unafiki ww ni vutoporofc,nyani fc,chura fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…