TFF wanazidi kujipambanua kwamba Simba ni Kijana wao mpendwa

Ila wewe ni Fala kabisa sasa Kwan dirisha liligunguliwa kwaajili ya Simba peke yake.

Umesahau kuwa Simba anavipolo sababu ya mechi za Super Cup? Mbona huwazi kama mtu mzima.

Yanga game zake nyingi anacheza hapa chamazi kitu ambacho simba ameamua kuupisha uwanja huo na kupeleka game zake CCM kirumba.

Uwanja wa ndege wa Songwe na Mbeya ni sawa na pua na mdomo,hilo nikupe elimu

Mshamba mkubwa wewe.
 
Hajui maskini mfundisheni.Inawezekana mkimbizi kutoka Congo.
Yani mmekutana pipa na mfuniko mbona jiografia ndogo tu Songwe ni Mkoa unaojitegemea ukiniambia uwanja Wa Songwe upo Mbeya huoni kuna haja ya kumtilia shaka Mwl wako Wa Jiografia.
 
Hahaha mashabiki wa Simba bana hasira za nini au zile tano bado zinawaumeni nini yani mmejaa hasira plus matusi mara fala Mara pumbavu hiki ni kipimo tosha cha uelewa wenu hakika Kauli ya Rage idumu
 
Ubishi wa kijinga.Songwe Airport ipo Mkoa wa Mbeya wewe mvimba macho.Jaribu ku google uache ujinga na uzushi.Uwanja huo zamani ulikuwa unaitwa Old Mbeya Airport na ulipozinduliwa ndio ukaitwa Songwe.
 
Yani mmekutana pipa na mfuniko mbona jiografia ndogo tu Songwe ni Mkoa unaojitegemea ukiniambia uwanja Wa Songwe upo Mbeya huoni kuna haja ya kumtilia shaka Mwl wako Wa Jiografia.
Hawazungumzii Mkoa wa Songwe.Kinachozungumziwa hapa ni Songwe Airport iliyopo Mkoa wa Mbeya.
 
Malalamiko fc hamjawahi kuniangusha.
Kila mnapoona mafanikio ya Mnyama wa mwitu lazima muelekeze lawama TFF, waamuzi mpaka serikalini.
Tumewachoka
 
Hebu acheni hii tabia ya soka la visingizio vingi, siku zote timu bora itashinda.

Ova
 
Yani mmekutana pipa na mfuniko mbona jiografia ndogo tu Songwe ni Mkoa unaojitegemea ukiniambia uwanja Wa Songwe upo Mbeya huoni kuna haja ya kumtilia shaka Mwl wako Wa Jiografia.
Tofautisha Uwanja wa Ndege Songwe na Mkoa wa Songwe. Usilazimishe ujinga
 
Punguza ubishi wa kijinga. Songwe Airport ipo Mbeya. Hili linaonesha hata unayoandika huyjui
 
Utaanzisha nyuzi mpka server zijae...pambaneni mnaogopa nini si mpo kileleni?
 
Yanga imecheza leo, Kesho inapanda ndege inakwenda Mbeya kumbuka watashukia Songwe na safari ya basi mpaka mbeya
Mkuu, uwanja wa ndege wa Songwe hadi Mbeya mjini hazizidi dakika 45 kwa costa, wala hauhitaji bus. Yaani mtu akiwa Gongo la Mboto atachukua muda mrefu zaidi kufika Ubungo kulinganisha na aliyetua Songwe na kusafiri hadi Mbeya
 
Unajua kuwa uwanja wa Songwe upo mkoani Mbeya?

Na ni umbali wa kilometa 20 tu hivi toka Songwe Airport hadi Mbeya city center, kwa Dar ni umbali unaoshahabiana na safari ya Mbezi Mwisho hadi Posta Mpya
Songwe hauko Mbeya, ila ni kweli hauko mbali na Mbeya Mjini
 
Mkuu,umepimwa kama una homa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…