Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama idadi ya mashindano yaiyoongezeka ni mojaKuwa Yanga ni mmoja wa mnufaika hilo halina ubishi na hiyo imetengenezwa namna ili ionekane Yanga nae yumo ila mlengwa mkuu yaani mnufaika namba moja ni Simba.
Swala la mashindano mengi ni shindano moja tu ndio iliyoongezeka ambayo ilikuwa ni AFL ambapo mlicheza mechi mbili tu mkaaga mashindano. Au mlicheza hadi fainali?
Kwani idadi ya viporo vilivyobaki ni vingapi?