Kuwa Yanga ni mmoja wa mnufaika hilo halina ubishi na hiyo imetengenezwa namna ili ionekane Yanga nae yumo ila mlengwa mkuu yaani mnufaika namba moja ni Simba.
Swala la mashindano mengi ni shindano moja tu ndio iliyoongezeka ambayo ilikuwa ni AFL ambapo mlicheza mechi mbili tu mkaaga mashindano. Au mlicheza hadi fainali?
Simba kila baada ya siku mbili ya tatu mechi 1,3, 6, 9 13 16, 19 Sasa hiyo ndo ratiba ya mechi za Simba yangu February brother acha ipendeleo na visababu SABABU kila mtu ashinde mechi zake