Vipi na Penalt REFA alizikataa zile 3 mkapata 2?Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini
Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick wakati ilikuwa ni kona.
Kwenye hili TFF wasaidieni young african ni ugeni wa mashindano haya ndio umewatia unyonge jana
nawaambia ile jana ingekuwa team ya waarab jana wangegoma kucheza mpira kushinikiza refa akaangalie kwenye VAR.
Video yenye hii hapa angalia kuanzia sekunde ya 30
View attachment 2955494
Acheni kulalamika Utopolo. Mpira haukivuka wote mstari na wala haukutoka kipa aliudaka. Mnalilia kona tena.Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini
Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick wakati ilikuwa ni kona.
Kwenye hili TFF wasaidieni young african ni ugeni wa mashindano haya ndio umewatia unyonge jana
nawaambia ile jana ingekuwa team ya waarab jana wangegoma kucheza mpira kushinikiza refa akaangalie kwenye VAR.
Video yenye hii hapa angalia kuanzia sekunde ya 30
View attachment 2955494
Nakukumbusha tu timu yenu ni kongwe yenye miaka zaidi ya 80. Kwa hiyo kuwa na robo fainal moja ambayo haikufanyi uitwe mwakarobo , ukitumia akili yako vizuri huwezi kujivunia kwa hilo.Huwezi kuitwa Mwakarobo Kwa robo fainali moja. Tafuta chanzo cha anayeitwa Mwakarobo kilianza lini!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh poleeeHuwezi kuitwa Mwakarobo Kwa robo fainali moja. Tafuta chanzo cha anayeitwa Mwakarobo kilianza lini!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Goli la halali, lakini baya lolote liwapate,, [emoji1787]
Wachezaji walitakiwa wakomae kwa kumzongazonga refa kwenda kuangalia VAR ya mvhongo labda Ndiyo huko kupata uzoefu wa hizi fainaliNimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini
Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick wakati ilikuwa ni kona.
Kwenye hili TFF wasaidieni young african ni ugeni wa mashindano haya ndio umewatia unyonge jana
nawaambia ile jana ingekuwa team ya waarab jana wangegoma kucheza mpira kushinikiza refa akaangalie kwenye VAR.
Video yenye hii hapa angalia kuanzia sekunde ya 30
View attachment 2955494
Haki sharti idaiwe?Kwa nini hawakuidai hiyo kona?
Kwa nini walikubali kwenda matuta ilihali wana kinyongo na hatua zilizotangulia, si wangesusia hayo matuta hadi wapate haki yao kwanza...
Wangeshinda matuta, wangeanza kulalamika kama hivi sasa?
SawaUkiachik Kubali sio kila siku unamkumbuka ex wako ubantu ubotho kunjany
Makolokolo okoeni hili jitu lenu, hamulionei huruma linavyoteseka kwa unafki kuponda washabiki wa Yanga na Simba lakini kila uzi wa soka lipo [emoji848][emoji23]Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Aisee katika hili nakubaliana na wewe. Wengi maisha yao ni ya kubahatisha tu.Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Wewe ni Simba nakuona tu unacomment thread za Yanga.Kwa nini hawakuidai hiyo kona?
Kwa nini walikubali kwenda matuta ilihali wana kinyongo na hatua zilizotangulia, si wangesusia hayo matuta hadi wapate haki yao kwanza...
Wangeshinda matuta, wangeanza kulalamika kama hivi sasa?