TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

Kosa la tanga, walitakiwa kuchangamka kumkimbilia Aziz ki kwenye kibendera, na kushangilia naye mda ule ule, Ile duwaa Yao ndo imewagarimu, afu pili motsepe aliingia madarakani kwa wapinzani wake wote kujitoa na yy kubaki mgombea pekee uenyekiti CAF kwaio mshamjua ni MTU wa aina gani so GSM watulie, atakaeieza ligi ya motsepe ni PDG papaa moise katumbi wa pale mboka ya Lubumbashi tu.
 
Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini

Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick wakati ilikuwa ni kona.

Kwenye hili TFF wasaidieni young african ni ugeni wa mashindano haya ndio umewatia unyonge jana
nawaambia ile jana ingekuwa team ya waarab jana wangegoma kucheza mpira kushinikiza refa akaangalie kwenye VAR.

Video yenye hii hapa angalia kuanzia sekunde ya 30

View attachment 2955494
Vipi na Penalt REFA alizikataa zile 3 mkapata 2?
 
Acheni kulalamika Utopolo. Mpira haukivuka wote mstari na wala haukutoka kipa aliudaka. Mnalilia kona tena.
 
Huwezi kuitwa Mwakarobo Kwa robo fainali moja. Tafuta chanzo cha anayeitwa Mwakarobo kilianza lini!!
Nakukumbusha tu timu yenu ni kongwe yenye miaka zaidi ya 80. Kwa hiyo kuwa na robo fainal moja ambayo haikufanyi uitwe mwakarobo , ukitumia akili yako vizuri huwezi kujivunia kwa hilo.
 
Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini

Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick wakati ilikuwa ni kona.

Kwenye hili TFF wasaidieni young african ni ugeni wa mashindano haya ndio umewatia unyonge jana
nawaambia ile jana ingekuwa team ya waarab jana wangegoma kucheza mpira kushinikiza refa akaangalie kwenye VAR.

Video yenye hii hapa angalia kuanzia sekunde ya 30

View attachment 2955494
Wachezaji walitakiwa wakomae kwa kumzongazonga refa kwenda kuangalia VAR ya mvhongo labda Ndiyo huko kupata uzoefu wa hizi fainali
 
Kwa nini hawakuidai hiyo kona?

Kwa nini walikubali kwenda matuta ilihali wana kinyongo na hatua zilizotangulia, si wangesusia hayo matuta hadi wapate haki yao kwanza...

Wangeshinda matuta, wangeanza kulalamika kama hivi sasa?
 
Ukiachik Kubali sio kila siku unamkumbuka ex wako ubantu ubotho kunjany
 
Kwa nini hawakuidai hiyo kona?

Kwa nini walikubali kwenda matuta ilihali wana kinyongo na hatua zilizotangulia, si wangesusia hayo matuta hadi wapate haki yao kwanza...

Wangeshinda matuta, wangeanza kulalamika kama hivi sasa?
Haki sharti idaiwe?
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Makolokolo okoeni hili jitu lenu, hamulionei huruma linavyoteseka kwa unafki kuponda washabiki wa Yanga na Simba lakini kila uzi wa soka lipo [emoji848][emoji23]
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Aisee katika hili nakubaliana na wewe. Wengi maisha yao ni ya kubahatisha tu.
 
Huku Maofisini nako goli goli wamesahau habari ya kustaafu na kulipwa pensheni Mil 17 na Shabibi anapenyeza hoja yake ya kukata 2000 Kwa Kila lakini ya Simu ichangie bima ya afya Kwa wote haweki Wazi Kuwa wafanyajazi wanaokatwa bima kwenye mishaara Yao nao laini zao zitakwata Tena 2000? Nchi iko katika mtanziko wenyewe wanalilia goli.
 
Kwa hiyo sasa mnataka mechi irudiwe kisa mlinyimwa kona? Kesho mtarudi tena kutaka mechi irudiwe au mpewe ushindi wa mezani kisa hamkupewa mpira wa kurushwa
 
Kwa nini hawakuidai hiyo kona?

Kwa nini walikubali kwenda matuta ilihali wana kinyongo na hatua zilizotangulia, si wangesusia hayo matuta hadi wapate haki yao kwanza...

Wangeshinda matuta, wangeanza kulalamika kama hivi sasa?
Wewe ni Simba nakuona tu unacomment thread za Yanga.

Thread za simba huendi, Alafu comment yako swali ni Moja tu [emoji1787] poleee kolooo
 
Back
Top Bottom