TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Soma barua ya TFF

taarifa ya yanga.jpg

======

Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki.

Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rivers United utakaopigwa Jumapili April 23.

Mchezo wa marudiano utapigwa April 30 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya Singida BS, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Ratiba ya mchezo huo nayo huenda ikaathiriwa kutokana na ratiba ta mechi za CAF. Yanga itakwenda kuhitimisha msimu mkoani Mbeya kwa mechi mbili dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons.

Katika mechi nne zilizosalia, Yanga inahitaji alama nane ili kitetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo
Wananchi pia wanakabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Singida BS ambao utapigwa uwanja wa Liti, Singida.

Tanzania Web
 
1683030617335.png

Shirikisho la Soka nchini TFF limeusogeza mbele mchezo wa ASFC kati ya Simba SC na Azam FC uliokuwa kuchezwa Nangwanda Sijaona Mtwara Jumamosi Mei 6 hadi Jumapili Mei 7.

Aidha mchezo wa Singida BS dhidi ya Yanga nao umesogezwa mbele mpaka hapo utakapo pangiwa tarehe mpya.
 
Soma barua ya TFF

View attachment 2607277

======

Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki.

Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rivers United utakaopigwa Jumapili April 23.

Mchezo wa marudiano utapigwa April 30 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya Singida BS, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Ratiba ya mchezo huo nayo huenda ikaathiriwa kutokana na ratiba ta mechi za CAF. Yanga itakwenda kuhitimisha msimu mkoani Mbeya kwa mechi mbili dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons.

Katika mechi nne zilizosalia, Yanga inahitaji alama nane ili kitetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo
Wananchi pia wanakabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Singida BS ambao utapigwa uwanja wa Liti, Singida.

Tanzania Web
Ndiyo Raha ya kuwa wa kimataifa
 
Mkuu Mbona uzi hauleweki huu
Maelezo ya baada ya barua ya tff mbona ni yanahusu robo fainali ambayo ilishapita
 
Hapo yanga walienda wakashindwa kutua wakarudi, wakaenda tena Dodoma wakatua na kuanza taratibu za kwenda singida now mchezo umeahirishwa inabidi waanze utaratibu wa kurudi dar, hii nchi hii
 
Back
Top Bottom