TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

Dah! Ila dunia haiko fair hata kidogo. Yaani wakati Yanga inajiandaa kwa ajili ya nusu fainali mashindano ya CAF, eti simba inajiandaa kwa nusu fainali mashindano ya ASFC!!
Haya mambo miaka zaidi ya minne mlikuwa mnayaona tu.
 
Kwani si tulishakubaliana hakuna mambo ya kusogeza mechi mbele kisa mechi za kimataifa.

Sasa imekuaje tena, huu utaratibu ulishaachwa misimu 2 sasa.

Tuheshimu ratiba kama ina mpa mtu saa 72 hadi mechi iweje shida.
 
Shirikisho la soka nchini TFF leo limetanga rasmi kuwa mchezo wa nusu fainal ya kombe la ASFC FA kati ya Singida BS vs Yanga itachezwa tarehe 21.05.2023 saa 9:30 mchana uwanja wa CCM LITI Mkoani Singida
 
Back
Top Bottom