TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

Kuna tetesi zilienea kuwa Simba alitaka mechi yao dhidi ya yanga isogezwe mbele yanga wakawawahi bodi ya ligi wakasema mechi haisogezwi lakini wao Leo wamekiomba kile kile walichomgomea simba
 
Hapo yanga walienda wakashindwa kutua wakarudi, wakaenda tena Dodoma wakatua na kuanza taratibu za kwenda singida now mchezo umeahirishwa inabidi waanze utaratibu wa kurudi dar, hii nchi hii
Hapana watacheza mechi moja badala ya mbili
 
Kuna tetesi zilienea kuwa Simba alitaka mechi yao dhidi ya yanga isogezwe mbele yanga wakawawahi bodi ya ligi wakasema mechi haisogezwi lakini wao Leo wamekiomba kile kile walichomgomea simba
Ujanja kuwahi na kufika
 
Kwani utopolo wanahitaji muda gani kujiandaa kwa game ya lile kombe lao pendwa la watoto?
Ndiye yule Mbumbumbu niliyekwambia anateseka sana [emoji1787]
JamiiForums258363410.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwani utopolo wanahitaji muda gani kujiandaa kwa game ya lile kombe lao pendwa la watoto?
Ulisema Marumo ni timu ya ngapi kwenye msimamo wa ligi yao?

Kujiandaa kwaajili ya Abajalo, kweli?
 
Sababu za kuahirisha mechi kati ya Yanga vs SBS zina mashiko. Hivyo nawapongeza Bodi ya Ligi kwa kukubali ombi la Yanga.
 
Hapo yanga walienda wakashindwa kutua wakarudi, wakaenda tena Dodoma wakatua na kuanza taratibu za kwenda singida now mchezo umeahirishwa inabidi waanze utaratibu wa kurudi dar, hii nchi hii
Mechi iliyohairishwa ni ya tarh 7 hii ya tareh 4 mbungi itapigwa kama kawa.
 
Dah! Ila dunia haiko fair hata kidogo. Yaani wakati Yanga inajiandaa kwa ajili ya nusu fainali mashindano ya CAF, eti simba inajiandaa kwa nusu fainali mashindano ya ASFC!!
 
Tulishayafanya hayo mpk fainali
 
Mechi za Simba zilipokuwa zinasogezwa mbele kuwapa nafasi kujiandaa na mechi ya kimataifa misimu kadhaa nyuma, Nyani FC walikuwa wanapiga kelele kama vyura bwawani. Leo kunani?

Tulisema na nyinyi Iko siku mtashiriki michuano ya kimataifa na mtaomba jambo kama hilo mtendewe. Akili zimewarudia sasa?
 
Back
Top Bottom