TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

Comment from son of a bitch.
 
Mechi ilisogezwa mbele siku moja tu wakati hii imeahirishwa hadi hawajui itachezwa lini eti wanasubiri matokeo ya Yanga. Upuuzi mtupu.
Siyo kila kitu ni kupinga tu ili uonekane kolo kweli ninyi si mlikwenda hadi Dubai mmeshasahau kweli wazee wa takwimu
 
Mechi ilisogezwa mbele siku moja tu wakati hii imeahirishwa hadi hawajui itachezwa lini eti wanasubiri matokeo ya Yanga. Upuuzi mtupu.
Hii michuano ya ndani Lengo lake ni kupata timu itakayoenda kuwakilisha nchi, Yanga tayari anawakilisha nchi hivyo ikiwezekana mechi zote za ndani zinazoihusisha Yanga ziwe suspended paka pale Yanga atakapojua hatma yake huko caf.
 
Kama ni hivyo, ingekuwa vyema ingejitoa kabisa. Ila usidanganye watu, kuwakilisha ni zawadi za ziada, zawadi kuu zinazopambaniwa ni ubingwa wenyewe na zawadi za pesa. Kama ni kuwakilisha, timu zote nne zilizo kwenye nusu fainali zimeshapata nafasi ya kuwakilisha.
 
Unataka yanga ajitoe ili mpate kitonga ya kuambulia hata kombe la mbuzi ASFA, kwa taarifa Yanga inachikua makombe yote msimu huu na nyie hamuambulii hata kombe moja
 
Tunawatamani sana, njooni tunawasubiri Mkwakwani
 
Akilifunga tawi lake atamkuta Robertinho anamsubiri finali.

Msimu huu utopolo anatoka kapa. NBC hapati na Azam anakosa.
 
Yanga hatowaza sana maana atakuwa amenyakuwa kombe la CAF.
 
Haya Mambo ni Tz pekee utayaona shirikisho linachekesha Sana!!
 
hawa kenge si ndio walikuwa wakilalamika kuhusu Simba kusogezwa mechi zao wakati wanashiriki kimataifa ila sasa hivi wao ndio wanaomba mechi zao zisimame ili wajiandae
 
Wanaogopa sana mechi hawa kenge utadhani siyo timu ya mpira. Imagine wanaogopa kucheza na timu ambayo hata wakiingiza wachezaji 8 uwanjani wana uhakika wa kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…