Dah! Ila dunia haiko fair hata kidogo. Yaani wakati Yanga inajiandaa kwa ajili ya nusu fainali mashindano ya CAF, eti simba inajiandaa kwa nusu fainali mashindano ya ASFC!!
Shirikisho la soka nchini TFF leo limetanga rasmi kuwa mchezo wa nusu fainal ya kombe la ASFC FA kati ya Singida BS vs Yanga itachezwa tarehe 21.05.2023 saa 9:30 mchana uwanja wa CCM LITI Mkoani Singida