Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Manara anajua anachokifanya na anatafuta anachokitaka kwake coz pale alipo kuna shauri lake TFF yeye na Barbra halijatolewa ufafanuzi,halafu bila uwoga anamjibu as if anamuweza sana Karia, sio kwamba hana akili ila anajua kitakachotokea
Labda niwape za ndaani kabisa Mkataba Wa Haji Manara na GSM ktk kurejesha hamasa ndani ya klabu ya Yanga ulikuwa ni Wa Mwaka mmoja tu
Eng.Hersi akishachaguliwa kuwa Rais na makamu wake Arafat Haji pamoja na wajumbe Wa bodi,Yanga inaenda kubadilisha uongozi mzima pale Yanga na hawa watu Bumbuli na Manara hawapo kwenye tena kwenye mipango ya kuwa kwenye safu ya kitengo cha habari pale Yanga
Manara anaijua future yake ktk Mpira haipo tena,kwahyo yupo katika kutafuta sababu ya kutojihusisha na Maisha ya Mpira kabisa
Source: Trust Me Bro