TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

Ndumbaro kaleta taharuki tu, asilimia kubwa ya mawazir wa Samia ni weupe mno kichwani sijui hata huwa anatumia vigezo Gani kuwateua.
Ukishaingia kwenye siasa za Tanzania yaani hata kama ni Profesa unakuwa level moja na sie wa darasa la 7B maana unahitaji zaidi kujichetua kuliko kutumia akili.

Yaani jamaa kama ni raia kigeni umeingia nchini hujui nani ni nani unaweza sema Ndumbaro ni Rais wa TFF Kwa kupenda kuzungumzia timu ya Taifa huku TFF wakionekana Kwa nadra sana.

Ifike mahala Hawa wanasiasa waziache hizi timu za Taifa na hizi club zinazoshiriki mashindano ya kimataifa waendeshe mambo Yao. Serikali kutoa support sio ndo Kila dakika unapotaka unakwenda mara kuingia kambini kuongea na wachezaji etc
 
Mna uhakika hio barua ni official au ndio mikurukupuko
 
Solution ya kukomesha ushabiki wa kishamba inatakiwa kinuke siku moja Kwa Mkapa wafe kama mashabiki uchwara 100 ndio heshima itakuwepo, na hakuna tena atakayekwenda uwanjani kwa mechi isiyomuhusu.
ur so evil
 
Reactions: K11
"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."

This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.

Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
🤣🤣🤣Shule aliyosoma Salma kikwete,mroho wa mali na madaraka.
 
Ndumbaro kaleta taharuki tu, asilimia kubwa ya mawazir wa Samia ni weupe mno kichwani sijui hata huwa anatumia vigezo Gani kuwateua.
🤣🤣Kwan ye amekalia hicho kiti kwa kigezo gani?ukiteua walio weupe kichwani speaks volumes about upeo na uwezo wa mteuzi.
 
Na yule waziri bado yupo kwenye ofisi za umma tu Hadi leo? Tatizo wanachojua nikutofuata Sheria Wala taratibu na wanaiga toka kwa wakuu zao wanasahau kiongozi haundeshwi kwa hisia Kama mapenzi unaongoza watu na nchi hivyo ndio Mana zikawekwa taratibu na sheria
 
Africa mpaka mtu ajiuzulu siyo mchezo
 
Waziri alikurupuka.

Waache watu wapewe uhuru wao wa kushangilia timu zao sio wote ni mashabiki wa Simba na Yanga.
Najiuliza hii nguvu kubwa inayotumika kudhibiti mashabiki wa Sundown mbona haikutumika kipindi UTOPOLO anakesha airport kuwapokea AC Vita na Kaizer Chief na wengine.

Hofu ni ya nini?

Mbona Simba hawalalamiki?
 
Wamebana wameachia
 
"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."

This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.

Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Kwa kweli hichi kiingereza ni cha kujifunzia pale AMAZON COLEGE AU KWA RAS SIMBA
 
Najiuliza hii nguvu kubwa inayotumika kudhibiti mashabiki wa Sundown mbona haikutumika kipindi UTOPOLO anakesha airport kuwapokea AC Vita na Kaizer Chief na wengine.

Hofu ni ya nini?

Mbona Simba hawalalamiki?
Kinachoshangaza zaidi Simba wamesahau kama Wana mechi na Al Ahaly na wao ndio wanaanza kucheza, lakini wako busy na Yanga.

Simba wakitolewa na Yanga kwenda nusu fainali mtasingizia majini na Mamelodi hii siyo Ile.

Fuseeeki.
 
Najiuliza hii nguvu kubwa inayotumika kudhibiti mashabiki wa Sundown mbona haikutumika kipindi UTOPOLO anakesha airport kuwapokea AC Vita na Kaizer Chief na wengine.

Hofu ni ya nini?

Mbona Simba hawalalamiki?
Wanajua wanakutana na mfupa mgumu.

Hujiulizi kwanini mwaka jana walipopangwa na Rivers hakukuwa na hizi kelele?

Na viongozi wao walivyokosa uungwana hawajawahi hata kuomba radhi kwa vitendo walivyofanya kipindi Simba inashiriki kimataifa na Yanga haishiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…