Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hapo utaona kwamba mchapaji amesahau e (Kwenye note that..., Thus, note that passports will bot be used as access to the stadium for supporters)"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."
This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.
Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Anyway lugha tena ya Kigeni kwangu sio kigezo sana kwangu kuwapima hawa wadau...., Ingawa umakini wa kutokupitia barua mara mbili au tatu kabla ya kutuma ni kosa kubwa....., Pili upuuzi wa yule Waziri ndio jambo la kushangaza, hawa jamaa kama hawana kazi wakachukua part time jobs huko za kulima bustani... (Hizo gharama za kuandika na kutuma hio barua pamoja na fine kubwa na usumbufu awalipe wote waliokumbwa na huu usumbufu) At very least aombe msamaha...