TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."

This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.

Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Hapo utaona kwamba mchapaji amesahau e (Kwenye note that..., Thus, note that passports will bot be used as access to the stadium for supporters)

Anyway lugha tena ya Kigeni kwangu sio kigezo sana kwangu kuwapima hawa wadau...., Ingawa umakini wa kutokupitia barua mara mbili au tatu kabla ya kutuma ni kosa kubwa....., Pili upuuzi wa yule Waziri ndio jambo la kushangaza, hawa jamaa kama hawana kazi wakachukua part time jobs huko za kulima bustani... (Hizo gharama za kuandika na kutuma hio barua pamoja na fine kubwa na usumbufu awalipe wote waliokumbwa na huu usumbufu) At very least aombe msamaha...
 
Kinachoshangaza zaidi Simba wamesahau kama Wana mechi na Al Ahaly na wao ndio wanaanza kucheza, lakini wako busy na Yanga.

Simba wakitolewa na Yanga kwenda nusu fainali mtasingizia majini na Mamelodi hii siyo Ile.

Fuseeeki.
Wanaocheza ni wachezaji, sisi jukumu letu ni kununua tiketi na kwenda uwanjani, na mpaka saizi tiketi zilizobaki ni VIP A na mzunguko.

Kwenye swala la kwenda uwanjani hiyo ni desturi yetu na pamoja na kwamba mechi yenu imewekwa bure lakini ukakuta Simba imejaza zaidi mashabiki kuliko nyie.
 
Hata kama mashabiki hawachezi huwezi kufocus mechi ya timu nyingine wakati wewe mwenyewe Una mechi ngumu na hujui hatma yako, tena especially Kwa Simba hii Kimeo striker Kibu Denis.
 
Ni huyuhuyu ndumbaro bingwa wa kuropoka aliwahi sema kwamba "Chato ni kitovu cha utalii" πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Ndivyo mlivyofundishwa huko shuleni kwenu?
 
Ndivyo mlivyofundishwa huko shuleni kwenu?
Ili hio sentensi ilete maana katika muktadha huo lazima hilo neno la kwanza lilitakiwa liwe note, lugha ya kisheria kuweka msisitizo.., kama ilivyo mikataba ya kisheria kila sentensi inaanza na Kwamba..., ni fofauti ukiwa unamuandikia mpenzi wako...., hivyo basi hapo kosa kubwa ni kutokuwa na umakini wa kusahihisha typing error
 
Hata kama mashabiki hawachezi huwezi kufocus mechi ya timu nyingine wakati wewe mwenyewe Una mechi ngumu na hujui hatma yako, tena especially Kwa Simba hii Kimeo striker Kibu Denis.
Sisi sio watu wakupewa ushauri na nyie ambao ndio kwanza mnaandika historia kufika hatua hii tangu Club yenu ianzishwe.

Unataka mashabiki wajadili nini?

Hii kwetu ni mechi ya kawaida japo tunajua ndio mechi kubwa kwa sasa katika level hii.

Lakini huyu mpinzani wetu sio mara yetu ya kwanza tunakutana na mpaka sasa katika rekodi tulizokutana hakuna mbabe.
 
Hawajifunza Kenya hao.East Africa ilichangamka sana miaka ya Nyuma Kimpira,na sasa Tz ndio Taifa pekee lenye team mbili.
Badala wajikite kuwekeza zaidi na ku promote michezo wamekaa kuleta mambo ya ajabu.
 
Solution ya kukomesha ushabiki wa kishamba inatakiwa kinuke siku moja Kwa Mkapa wafe kama mashabiki uchwara 100 ndio heshima itakuwepo, na hakuna tena atakayekwenda uwanjani kwa mechi isiyomuhusu.
Dr mzima unashabikia vyura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…