TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

Solution ya kukomesha ushabiki wa kishamba inatakiwa kinuke siku moja Kwa Mkapa wafe kama mashabiki uchwara 100 ndio heshima itakuwepo, na hakuna tena atakayekwenda uwanjani kwa mechi isiyomuhusu.
Unanikumbusha Bunge la Manyani pale Dodoma.
 
Solution ya kukomesha ushabiki wa kishamba inatakiwa kinuke siku moja Kwa Mkapa wafe kama mashabiki uchwara 100 ndio heshima itakuwepo, na hakuna tena atakayekwenda uwanjani kwa mechi isiyomuhusu.
Mapovu ya Nini, Simba imecheza hatua hii Mara nyingi hatujawahi kusikia malalamiko, rais wenu alivaa jezi ya Kaizer Chief hakukuwa na malalamiko, mlipokea wageni bado hakukuwa na malalamiko kwanini mmeanza kuingia uoga.
 
Kwa nini inaongelea zaidi mechi ya yanga kuliko ya Simba...kwani hili la kuvaa jezi si limeongelewa Kwa timu zote...
 
Kwa nini inaongelea zaidi mechi ya yanga kuliko ya Simba...kwani hili la kuvaa jezi si limeongelewa Kwa timu zote...
Simba wameingia hatua hii Mara nyingi na hatujawahi kuwa na hii marufuku. Rais wa yanga alivaa jezi ya Kaizer Chief wakati Simba inacheza na Kaizer Chief kulikuwa hakuna katazo lolote, yanga wamepikea timu ngeni na kuvaa jezi zao hakuna kauli yoyote iliyotolewa.
Aliyeanza kulalamika ni kiongozi wa yanga ambaye ni makamu wa rais wa yanga kuwa.inabidi Simba na yanga washabiki wawe kitu.kimoja. hivyo inachukuliwa Kama serikali inawalinda yanga.
 
"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."

This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.

Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Thus note that pass will not ...
 
Kwahiyo baada ya barua ya TFF, je, kuna Watanzania watavaa jezi za Mamelod na Al Alhly?

Unajua sisi Watanzania ni waoga sana, unaweza kukuta ule mkwara wa waziri ukaendelea kuzunguka ndani ya vichwa vya Watanzania japokuwa kuna hakikisho la kutosumbuliwa kutoka TFF. Ngoja tusubiri!

Lakini itakuwa ni uzalendo kuvaa jezi za Simba na Yanga kwa Watanzania na kutovaa jezi za wageni!
 
Simba haiwezi ifunga ali ali
 
"Thus, not that passports will not be used as access to the stadium for supporters of Mamelody Sundowns FC..."

This double negation conveys a message that passports will be an entrance requirement.

Hawa TFF walisomea wapi Kingereza?
Kiinglish cha kwenye hiyo barua na mimi kimentia shaka hata kwa sisi tuliojikita zaidi kwenye lugha za jadi
 
Wewe ni msengeeelemaaa... Yanga anahisikaje na kauli ya waziri. Utakuwa unatiwa madolee
 
Solution ya kukomesha ushabiki wa kishamba inatakiwa kinuke siku moja Kwa Mkapa wafe kama mashabiki uchwara 100 ndio heshima itakuwepo, na hakuna tena atakayekwenda uwanjani kwa mechi isiyomuhusu.
Mtu kavaa jezi ya Mamelodi katika mechi ya Mamelodi halafu unasema mechi haimuhusu.
 
Mchelea Mwana Kulia Hulia Yeye

Ndumbaro Afutwe Kazi Ama Azuiwee Kuingia Uwanjani Ametutia Aibu Sana Duniani
 
sio kuomba radhi ajiuzuru
 
Huyu Ndumbaro ndiye anafanya watu wafupi wadharauliwe
 
Najiuliza hii nguvu kubwa inayotumika kudhibiti mashabiki wa Sundown mbona haikutumika kipindi UTOPOLO anakesha airport kuwapokea AC Vita na Kaizer Chief na wengine.

Hofu ni ya nini?

Mbona Simba hawalalamiki?
AC Vita ni club ya wapi?
 
Hata Hivyo Rungu Laja Subirini Muone Sababu Serikali Imeingilia Michezo Wazi Wazi
Jengeni viwanja vyenu kama mnataka serikali isiwaingilie.

Serikali inaingia popote muulize Michael Wambura atakupa somo.

Sakata la Fei toto na Yanga limemalizwa na serikali, mnajizima data tu, mnapotaka kuandaa Afcon hao TFF Wana mavi ya kujenga viwanja?
 
Mchelea Mwana Kulia Hulia Yeye

Ndumbaro Afutwe Kazi Ama Azuiwee Kuingia Uwanjani Ametutia Aibu Sana Duniani
Labda kule Bunju kama mnaweza kucheza na Al Ahaly ndio mna haki ya kumzuia, lakini huwezi kumzuia mtu nyumbani kwake, Benjamin Mkapa stadium ni Mali ya serikali, watu wa Simba na Yanga mmejaa porojo tu hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…