wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
mm namshauri mesi simba usiwasogelee hata kuwanusa hawa tanzania fitina fedaration naamini watakufanyia fitina tu ni bora kuanzia sasa tafuta timu ufanye mazoezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani Mkuu, naomba uniruhusu nitofautiane na wewe kidogo:Kinachoamua awepo au asiwepo huru ni mkataba uliopo ndani ya ofisi za TFF. Mkataba uliopo TFF ni wa miaka mitatu, sasa akisaini timu nyingine atashindwa tu kesi kama Ngasa alivyoshindwa, na atalazimika kukosa mechi sita, kuilipa fidia Simba na riba juu. Kumbukeni madhara yaliyomkuta Ngasa hadi akakopa hela benki na deni lile ndilo limemkimbiza Yanga kwa kuwa walimdanganya kuwa watasaidia kumlipia
Mkanganyiko wa kimkataba sawa. Lakini HP na HM walipaswa kujiridhisha wao kwanza juu ya undani wa Messi kun'gan'gania kwamba ana mkataba wa miaka miwili tu. Angalau wangejiuliza kwa nini mkimya Messi amegeuka kupaaza sauti ghafla. Wangekumbuka ule usemi/wimbo 'bubu hutaka kusema anapozidiwa na mambo'. Hii ya Messi kutokuwa na moyo tena na Simba imechangiwa sana na kauli za kudhalilisha za HP na HM dhidi yake, bila ya wao kuangalia kwanza undani wa swala hili na/au kukaa naye kwanza mezani.Japo kuna mikanganyiko ya kimkataba.. ila ukimuangalia Messi moyo wake haupo kabisa Simba Sc.. busara inabidi itumike kwa kumuacha aende zake.
Mkuu,Hakuna haja ya vita zisizo na msingi
Acheni dogo akacheze mpira
Simba tumekosea...Huwezi kumlipa messi sh laki 4 na bado unamlazimisha mwaka mwingine tena
We jamaa una akili sana,kwa maana hiyo simba ndio wamefoji mkataba'Messi' ni mshindi: Yeye anadai hana mkataba na Simba kwa vile umeisha baada ya kuitumikia miaka miwili, Simba wanadai 'Messi' bado ana mkataba nao uliobakiza mwaka mmoja. Kwa kuwa TFF imeamua wakae wajadili mkataba mpya ni dhahiri kuwa 'Messi' hana mkataba tena na Simba na mkataba ulioko Simba ni batili.
My Stand:
Hadi sasa 'Messi' ni mchezaji huru, anaweza kuongea na timu yoyote na kujiunga nayo kwa utashi wake, sio lazima aongee na Simba pekee.
'Messi' ni mshindi: Yeye anadai hana mkataba na Simba kwa vile umeisha baada ya kuitumikia miaka miwili, Simba wanadai 'Messi' bado ana mkataba nao uliobakiza mwaka mmoja. Kwa kuwa TFF imeamua wakae wajadili mkataba mpya ni dhahiri kuwa 'Messi' hana mkataba tena na Simba na mkataba ulioko Simba ni batili.
My Stand:
Hadi sasa 'Messi' ni mchezaji huru, anaweza kuongea na timu yoyote na kujiunga nayo kwa utashi wake, sio lazima aongee na Simba pekee.
tff nao ni wahuni kama sheri zipo wann utumie busarafununu zulizopo tff mkataba wa miaka 3 wa simba ndio wenye makosa , tff wameamua kutumia busara zaidi ili kutoweka wazi nani mwenye makosa
Tusiwe wavivu wa kufikiri. TFF ina mkataba wa Simba, sio wa Messi. Kama wataenda mbele kisheria, mkataba utakaojadiliwa ni wa Simba kwani pamoja na makosa ulionao, ndio uliopo na unaotambuliwa na TFF. Kwa ufupi, mkataba wa Messi haupo TFF na kwa bahati mbaya zaidi hata alionao mkononi umepigwa photocopy, sio original. TFF hawakuwa wajinga kumlazimisha Messi akaongee na Simba kwani inajua kwamba kilichopo ofisini ni Messi kuwa na mkataba wa mwaka mzima mmoia zaidi.
Me nafikiri tufike mahali ijulikane wazi, hata kama mikataba yote miwili ina makosa lakini uliopo au ulipokelewa kule TFF na kugongwa muhuri ni upi kati ya hiyo miwili? au yote haipo kule TFF? Kama yote haipo kule TFF, je uliopo unaisha mwaka gani?.
Tukiyajua hayo ndo Simba wakae na Messi wamalize kiundugu.
Vinginevyo bado kuna utata mkubwa kwa kuwa jamii inataka kujua nani mshindi kama mjadala wa mwanzo ulivyojielekeza, hivyo kuna haja ya kupata majibu.
Kuna upande wa Simba, Messi na upande wa Waandishi wa habari ambao wengi pia wapo kwa Messi kwa sababu kwao kama waandishi story kubwa ni Simba kufoji mkataba ndiyo itakayouza kuliko Messi kufoji mkataba, kwahiyo lazima watakuwa upande wa Messi kwa maslahi ya kazi zao.
Tatizo watu mna vichwa vigumu. Ishu sio mkataba uliopo Simba au kwa Messi, ishu ni mkataba uliopo TFF. Kama mkataba wa Messi ndio ungekuwepo TFF, angeshakuwa huru zamani sana na Yanga wangeshampa milioni 70... na mkataba ulioko Simba ni batili.
Huyo ndio Malinzi bwana..na huyo ndio muwakilishi wetu kwenye kumchagua Blatter..akili za kima kabisa hizi
Tatizo watu mna vichwa vigumu. Ishu sio mkataba uliopo Simba au kwa Messi, ishu ni mkataba uliopo TFF. Kama mkataba wa Messi ndio ungekuwepo TFF, angeshakuwa huru zamani sana na Yanga wangeshampa milioni 70
Tatizo watu mna vichwa vigumu. Ishu sio mkataba uliopo Simba au kwa Messi, ishu ni mkataba uliopo TFF. Kama mkataba wa Messi ndio ungekuwepo TFF, angeshakuwa huru zamani sana na Yanga wangeshampa milioni 70
ndio maana walisema wazingatie mkataba mama wengine hawajaelewa mkataba mama ni upi mkataba mama ni ule ulioko tff tatizo yanga mpaka sasa hawajui kwanini wanafungwa na simba kila wakikutana badala yake wanafikiri wakichukua mchezaji simba ndio wanaweza kupata ushindi messi amepata jina kupitia simba hivyo yanga waache kiherehere simba wanaweza kumruhusu na bado asifanye chochote kwani mpira wa simba na yanga ni tofautiTusiwe wavivu wa kufikiri. TFF ina mkataba wa Simba, sio wa Messi. Kama wataenda mbele kisheria, mkataba utakaojadiliwa ni wa Simba kwani pamoja na makosa ulionao, ndio uliopo na unaotambuliwa na TFF. Kwa ufupi, mkataba wa Messi haupo TFF na kwa bahati mbaya zaidi hata alionao mkononi umepigwa photocopy, sio original. TFF hawakuwa wajinga kumlazimisha Messi akaongee na Simba kwani inajua kwamba kilichopo ofisini ni Messi kuwa na mkataba wa mwaka mzima mmoia zaidi.
Miongoni mwa comment mbovu hii kuwahi kutokea humu jamvini hii mojawapo.ndio maana walisema wazingatie mkataba mama wengine hawajaelewa mkataba mama ni upi mkataba mama ni ule ulioko tff tatizo yanga mpaka sasa hawajui kwanini wanafungwa na simba kila wakikutana badala yake wanafikiri wakichukua mchezaji simba ndio wanaweza kupata ushindi messi amepata jina kupitia simba hivyo yanga waache kiherehere simba wanaweza kumruhusu na bado asifanye chochote kwani mpira wa simba na yanga ni tofauti