Pia kwa mawazo yangu mengine, just imagine Shirikisho lingekuwa limeruhusu wachezaji let's say watano tu wakigeni.
Na hii timu ya simba ndo ingekuwa inafika hadi robo fainali, maana yake mchango wa wachezaji wa ndani ungekuwa mkubwa sana
Na hata potential market ya wachezaji pale simba wanaotakiwa na Northern giants wengi wao wangekuwa ni wachezaji wazawa.
Na hii moja kwa moja faida Ilikuwa inaenda kwenye timu ya taifa, na tungeifurahia timu yetu kuwa na top players kwa Afrika wachezaji wa ndani
Leo hii kwa sheria hii ya mabadiliko ya wachezaji wa kigeni, ni wachezaji 4 ndo wanatakiwa kuanza
Simba
1.Manula
2.kapombe
3.mohamed hussein
4.Jonh bocco
Yanga
1.Mwamnyeto
2.David bryson
3.Feisal
4.Hapa ni Kaseke au Ambundo
Azam
1.Aggrey moris
2.Iddy Nado
3.ayoub lyanga
4.mudathir au sure boy
Angalia namna tulivyo na weak squad kama taifa na hao wanaoanza sio kwamba ni wazuri sana, hapana ila ndo sheria inalazimisha hivyo
Kama taifa inabidi tukae na tujitafakari katika swala hili
I stand to be corrected