TFF Yatoa Rukhsa Klabu Za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 Wa Kigeni

TFF Yatoa Rukhsa Klabu Za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 Wa Kigeni

Kwasasa Simba haita wasaidia wanakurupuka tu Labda Mwakani. Safarihii Yanga wamewaweza Simba kwenye Battle ya fedha sehemu zote walizo gombea wachezaji na Simba,Yanga waliwazidi. Mfano Shabani Djuma, Ambundo, Aucho. Na ule mpango wa kuwapora wachezaji Yanga kupitia Tff swala la Morrison linachemka kule CAS. Kwaujumla Simba wamebanwa vilivyo na GSM.
Uto akili zenu mnazijua wenyewe tu, serious simba ilifanya hata mazungumzo na hao uliowataja? Lini,wapi na saa ngapi? Ndo mnajifariji kihivyo? Hebu badirikeni basi,na nasikia Manara ndo atawasaidia kupata matokeo msimu huu!, tukutane uwanjani,na hao wachezaji wenu mliopewa msaada na As Vita.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Nitajie first 11 ya Senegal nambie inawachezaji wangapi wa ndani
Mkuu umeelewa hoja lakini?!!sasa senegal hiyo first 11, hata kama ni wachezaji wako nje, ya nchi lakini si ni wasenegali?sasa hapa hao wachezaji wanaocheza nje mnao?ki ukweli hapo sasa ndio timu ya taifa itatoka wapi?simba , yanga, azamu zote zisajiri wachezaji hao 8, na wawe wanacheza, muda wote hapo wabongo wawe, 9 tu, kuna nini hapo?
 
Wachezaji wa ndani hawanyimwi nasafi cha msingi wapambane waache uvivu mbona kina kapombe na m.hussein wanapata namba simba? Uzembe na uvivu wao ndo sababu ya kusajiriwa hawa wa kigeni et? Team kma yang n simba hazwez subr et ajibu au kaseke wacheze kwa kujituma nd ikafny vzuri caf lazm isajiri wenyew njaa na wanaojituma
 
Hata wakiongezwa pia Yanga na vilabu vingine si watafaidika sasa hofu ya nn.
Sajilini huu siyo muda wakupiga kelele then mje Tff na marefa wanawahujumu!
Kwani na muda Wa kuasilisha majina ya kigeni utaongezwa?
 
Nitajie first 11 ya Senegal nambie inawachezaji wangapi wa ndani
Duuu swali lako sijui kama umetafakari kabla ya kuuliza. Na wewe tutajie first eleven ya Taifa Stars utuambie ina wachezaji Wa nje wangapi!
 
Wachezaji wa ndani hawanyimwi nasafi cha msingi wapambane waache uvivu mbona kina kapombe na m.hussein wanapata namba simba? Uzembe na uvivu wao ndo sababu ya kusajiriwa hawa wa kigeni et? Team kma yang n simba hazwez subr et ajibu au kaseke wacheze kwa kujituma nd ikafny vzuri caf lazm isajiri wenyew njaa na wanaojituma
Hivi mpira ni kupambana tu uwanjani!!bila kuwa na msingi mzuri toka umri mdogo!!unafikiria bahati aliyoipata samata ni wote wanaweza kuipata??mtu ni mchezaji wa timu kubwa tu ya daraja la kwanza, kutuliza tu mpira hawezi unagonga ugoko!!akipewa apige danadana ni chumba kizima atakimaliza!!kuna nini hapo?!!
Huwezi kutegemea hiyo njia ya bahati nasibu tu, mpira ni sayansi mkuu!!!
 
Brazil, Italy, Portugal, Germany na nchi nyingi duniani zinaruhusu wachezaji kati ya watano na saba na kila mechi wageni wanaoruhusiwa kucheza ni kati ya watatu hadi watano ili kuwapa nafasi wazawa waongeze viwango. Nchi hizi soka ni biashara kubwa sana na zina mafanikio makubwa katika soka duniani. Tanzania kichwa cha MWENDAWAZIMU TUNAKURUPUKA TU!!!
Nadhani wanawaiga Waingereza huko timu zina utitili wa wachezaji wa kigeni.

Na wanaweza anza hata Saba first eleven
 
Umeandika kishabiki,kitopoli,kinyani nyani
1. HAO WACHEZAJI 12 WA KIGENI NI SIMBA TU WALIORUHUSIWA?

2. AZAM KWANI USAJILI UMEFUNGWA KUSEMA HAWAWEZI ONGEZA?

MALALAMIKO FC,MANARA FC,MPILI FC, Mnalalamika kama wamama walokosa wana....mpira ni mchezo wa wazi unaonekana....
Hsujafikiria ipasavyo. Kama TFF walikuwa wanaona inafaa kuongeza wachezaji 12 kwanini hawakuweka wazi mpaka wasubirie siku ya mwisho leo kupeleka majina CAF ndio watoe fursa? Hawa Azam na Yanga wanaanzia wapi kuanza kufufua mazungumzo na mchezaji ilihali tokea mwanzo mpaka kufikia tarehe 13 hawakuwa na taarifa yoyote kutoka TFF ikitoa ruhusa. Kwanini walipotoa tu tangazo Simba wakamtangaza mchezaji mpya? Hauoni kama Simba na TFF kuna mazingira yameifanya ili kuinufaisha timu moja pekee?
 
Chikwende,Lukosa,Onyango,Wawa,Boko,Kapombe,Mzamiru,Mkude,Nyoni n.k hawa wote wazee kisoka , katika usajiri wote uliofanya toka Kanjubari aanze kuwekeza wachezaji wazuri ulipata wawili tu Luis na Chama , umewauza sijuhi itakuwaje mengine yote magarasa yanakuja na kuondoka bure Shibobo n.k Huna jipya wewe
Na usajili wake mbaya toka aje amechukua ubingwa mara 4 vpl na robo fainal mara 2 CAF? mbona unaumia kwa jambo dogo sana?😂😂😂nyie huwa mnateseka sana.hamnenepi kwa sababu ya roho mbaya,chuki,wivu,uchawi na husda..chooni mnakunya mavi magumu kwa shida na sura mnakunja sana sababu yaani mna experience maumivu kila kona....😂😂😂😂😂😂
 
Hsujafikiria ipasavyo. Kama TFF walikuwa wanaona inafaa kuongeza wachezaji 12 kwanini hawakuweka wazi mpaka wasubirie siku ya mwisho leo kupeleka majina CAF ndio watoe fursa? Hawa Azam na Yanga wanaanzia wapi kuanza kufufua mazungumzo na mchezaji ilihali tokea mwanzo mpaka kufikia tarehe 13 hawakuwa na taarifa yoyote kutoka TFF ikitoa ruhusa. Kwanini walipotoa tu tangazo Simba wakamtangaza mchezaji mpya? Hauoni kama Simba na TFF kuna mazingira yameifanya ili kuinufaisha timu moja pekee?

Mnaenda kushtaki wapi sasa? Tujue. FIFA,CAS,CAF? au CUF,CCM,CDM? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mnaenda kushtaki wapi sasa? Tujue. FIFA,CAS,CAF? au CUF,CCM,CDM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeuliza maswali kama umeshindwa kujibu unapita kushoto sio ukoment ili mradi uonekane umejibu. Napenda sana kujadiliana kwa hoja kuliko maneno ya mipasho, ngonjera na taraabu.
 
Hivi unadhani hizo nchi nilizozitaja hapo juu kwanini HAZIJAKURUPUKA na kuruhusu utitiri wa foreign players katika vilabu vyao? Unadhani kwanini timu zao za Taifa zina mafanikio makubwa duniani? Nani kakudanganya kwamba nahitaji kunywa maji!? 😳😳😳Acha ujinga. Kwa upuuzi huu wa Karia timu ya Taifa itaendelea kuwa midebwedo mwa kipindi kirefu kijacho.
Badala ya kuangalia nchi nyingine duniani ambazo zina mafanikio makubwa ya soka katika timu zao za Taifa zina sera ipi kuhusu foreign players kaamua KUKURUPUKA TU!!
Hata Simba pia Ni timu ya Taifa boss!!
 
Kwa mujibu wa mtendaji wa bodi ya ligi waliviandikia vilabu na wadau ili kupata maoni juu ya kanuni za ligi mwaka huu, klabu pekee iliyopeleka maoni ni yanga ila kwa sababu ukilala ukiamuka unaiwaza Simba ndio maana fikra zako zinahisi ni Simba ndio waliopeleka hayo maombi.
Namshangaa ata mimi mtoa mada. Muda wote wezentu wanawaza propaganda tu bila kuweka uhalisia
 
badala kujikita kuimarisha viwango vya wazawa kwa kuzishauri kama sio kuvitaka vilabu kua na accademy zao wamejikita kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni mmh kwa maana hiyo sasa simba na yanga ni kubwa kuliko TFF kiasi cha kwamba matakwa yao yanasikilizwa zaidi na kufuatwa.
Kwa hiyo unashauri tukaimarishe timu za vijana na mwaka huu huu hesabu hiyo ivisaidie vilabu vyetu kwenye mashindano ya kimataifa!? Are you serious kweli?
 
Na mimi nmeuliza swali. Mnaenda kushtaki wapi sasa? Tujue. FIFA,CAS,CAF? au CUF,CCM,CDM?

😂😂😂😂😂😂😂

Nimeuliza maswali kama umeshindwa kujibu unapita kushoto sio ukoment ili mradi uonekane umejibu. Napenda sana kujadiliana kwa hoja kuliko maneno ya mipasho, ngonjera na taraabu.
 
Pia kwa mawazo yangu mengine, just imagine Shirikisho lingekuwa limeruhusu wachezaji let's say watano tu wakigeni.

Na hii timu ya simba ndo ingekuwa inafika hadi robo fainali, maana yake mchango wa wachezaji wa ndani ungekuwa mkubwa sana

Na hata potential market ya wachezaji pale simba wanaotakiwa na Northern giants wengi wao wangekuwa ni wachezaji wazawa.

Na hii moja kwa moja faida Ilikuwa inaenda kwenye timu ya taifa, na tungeifurahia timu yetu kuwa na top players kwa Afrika wachezaji wa ndani

Leo hii kwa sheria hii ya mabadiliko ya wachezaji wa kigeni, ni wachezaji 4 ndo wanatakiwa kuanza

Simba
1.Manula
2.kapombe
3.mohamed hussein
4.Jonh bocco

Yanga
1.Mwamnyeto
2.David bryson
3.Feisal
4.Hapa ni Kaseke au Ambundo

Azam
1.Aggrey moris
2.Iddy Nado
3.ayoub lyanga
4.mudathir au sure boy

Angalia namna tulivyo na weak squad kama taifa na hao wanaoanza sio kwamba ni wazuri sana, hapana ila ndo sheria inalazimisha hivyo

Kama taifa inabidi tukae na tujitafakari katika swala hili

I stand to be corrected
Sasa wachezaji wa ndani hawana ubora unategemea nn , yaani uendelee kuwaveba tuu kisa ni wachezaji wa ndani. ?
 
Kutoka 5, sijui ikaenda 8 ile, halafu 10 na sasa 12...

Hivi hawajui wanaua vilabu vivyo na uwezo wa kifedha...

Pia bado utataka timu ya Taifa kwa asilimia kubwa itoke Yanga, Simba na Azam...ambazo ndizo zitasajili hao 12 na kuwa rotate kwenye first 11...
Tukiwa na uwezo wa kuzalisha wachezaji bora wa ndani idadi itapungua.saizi hatuna wachezaji bora kabisa wa ndani, wakipewa nafasi hata hawafanyi chochote
 
Back
Top Bottom