Simba ilimtaka Ambundo seriously?Kwasasa Simba haita wasaidia wanakurupuka tu Labda Mwakani. Safarihii Yanga wamewaweza Simba kwenye Battle ya fedha sehemu zote walizo gombea wachezaji na Simba,Yanga waliwazidi. Mfano Shabani Djuma, Ambundo, Aucho. Na ule mpango wa kuwapora wachezaji Yanga kupitia Tff swala la Morrison linachemka kule CAS. Kwaujumla Simba wamebanwa vilivyo na GSM.
Nitajie first 11 ya Senegal nambie inawachezaji wangapi wa ndaniTukitoka hapa tunalalamika timu ya taifa haifanyi vizuri tunaanza kutafuta mchawi wakati wenzetu wanaweka nguvu zaidi kwa wachezaji wa ndani ili kuwapandisha viwango sisi tuko busy kuwafurahisha Simba na Yanga[emoji38][emoji38]
Tatizo ni namna kanuni ilivyp pitishwa.Hata wakiongezwa pia Yanga na vilabu vingine si watafaidika sasa hofu ya nn.
Sajilini huu siyo muda wakupiga kelele then mje Tff na marefa wanawahujumu!
mwarabu kashawalipia lodge anawasubiri ili awabofye kizenji, huku akiendelea kuwalia mihogo mibichi na maziwa ya mtindi...Kwasasa Simba haita wasaidia wanakurupuka tu Labda Mwakani. Safarihii Yanga wamewaweza Simba kwenye Battle ya fedha sehemu zote walizo gombea wachezaji na Simba,Yanga waliwazidi. Mfano Shabani Djuma, Ambundo, Aucho. Na ule mpango wa kuwapora wachezaji Yanga kupitia Tff swala la Morrison linachemka kule CAS. Kwaujumla Simba wamebanwa vilivyo na GSM.
Ukitumia akili yako sawia utagundua kuwa Senegal haihitaji kusumbuka na idadi ya wachezaji wa nda & nje kwenye ligi yao ikiwa tayari wana stock ya achezaji wazawa wanao cheza nje kama 50 hivi.Nitajie first 11 ya Senegal nambie inawachezaji wangapi wa ndani
Kunywa maji kidogo upoze koo ndugu ikiwezekana pata masafi ya MeTL maana haya mambo si mepesi hivoBrazil, Italy, Portugal, Germany na nchi nyingi duniani zinaruhusu wachezaji kati ya watano na saba na kila mechi wageni wanaoruhusiwa kucheza ni kati ya watatu hadi watano ili kuwapa nafasi wazawa waongeze viwango. Nchi hizi soka ni biashara kubwa sana na zina mafanikio makubwa katika soka duniani. Tanzania kichwa cha MWENDAWAZIMU TUNAKURUPUKA TU!!!
Kunywa maji kidogo upoze koo ndugu ikiwezekana pata masafi ya MeTL maana haya mambo si mepesi hivo
Twende taratibu hivi local players wa hayo mataifa tajwa hapo juu unaweza linganisha na wa taifa letu pendwa?
Najua jibu litakuwa hapana basi kama ni hivyo basi hatuna sababu ya kufananisha taratibu zetu na wengine coz we differ in every aspect.so,there is no need to reference them when football bussiness is on table
Mind you, this is our own style of handling football .so never mind just breath and don't forget to consume enough water this night. Trust me! you will be fine🙄
Ndio! ndio! Binafsi sijakupinga ila ukweli utabaki kuwa bado tuna safari ndefu.Hivi unadhani hizo nchi nilizozitaja hapo juu kwanini HAZIJAKURUPUKA na kuruhusu utitiri wa foreign players katika vilabu vyao? Unadhani kwanini timu zao za Taifa zina mafanikio makubwa duniani? Nani kakudanganya kwamba nahitaji kunywa maji!? 😳😳😳Acha ujinga. Kwa upuuzi huu wa Karia timu ya Taifa itaendelea kuwa midebwedo mwa kipindi kirefu kijacho.
Badala ya kuangalia nchi nyingine duniani ambazo zina mafanikio makubwa ya soka katika timu zao za Taifa zina sera ipi kuhusu foreign players kaamua KUKURUPUKA TU!!
Wachezaji wa ndani ndiyo sample za kina Ajibu, hata hawajielewi.....Acha wajae wageni tuTukitoka hapa tunalalamika timu ya taifa haifanyi vizuri tunaanza kutafuta mchawi wakati wenzetu wanaweka nguvu zaidi kwa wachezaji wa ndani ili kuwapandisha viwango sisi tuko busy kuwafurahisha Simba na Yanga😆😆
Siyo lazima usajili 12 wote....unaweza sailing hata wale bora 7 wakafanya kazi nzuriMkubwa wachezaji 12 wa kigeni ni wengi sana hasa kwa hizi timu zetu za Kiafrika na pia imewekwa ni lazima wachezaji 4 waanze kwenye game
Sure am telling you, huu ndo mwanzo wa kuwa na flop players wengi wa kigeni kwenye benchi na wanakula mishahara mikubwa
Mark my words
Tz tuna timu saizi 16,usiangalie timu 3 tuPia kwa mawazo yangu mengine, just imagine Shirikisho lingekuwa limeruhusu wachezaji let's say watano tu wakigeni.
Na hii timu ya simba ndo ingekuwa inafika hadi robo fainali, maana yake mchango wa wachezaji wa ndani ungekuwa mkubwa sana
Na hata potential market ya wachezaji pale simba wanaotakiwa na Northern giants wengi wao wangekuwa ni wachezaji wazawa.
Na hii moja kwa moja faida Ilikuwa inaenda kwenye timu ya taifa, na tungeifurahia timu yetu kuwa na top players kwa Afrika wachezaji wa ndani
Leo hii kwa sheria hii ya mabadiliko ya wachezaji wa kigeni, ni wachezaji 4 ndo wanatakiwa kuanza
Simba
1.Manula
2.kapombe
3.mohamed hussein
4.Jonh bocco
Yanga
1.Mwamnyeto
2.David bryson
3.Feisal
4.Hapa ni Kaseke au Ambundo
Azam
1.Aggrey moris
2.Iddy Nado
3.ayoub lyanga
4.mudathir au sure boy
Angalia namna tulivyo na weak squad kama taifa na hao wanaoanza sio kwamba ni wazuri sana, hapana ila ndo sheria inalazimisha hivyo
Kama taifa inabidi tukae na tujitafakari katika swala hili
I stand to be corrected