TFF Yatoa Rukhsa Klabu Za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 Wa Kigeni

Unajua walipeleka pendekezo lipi? Maana kubadilishwa hilo pendekezo hapo sio kwamba yanga ndio walipendekeza.
 
TFF ni Mali ya Simba Sports Club
 
Unajua walipeleka pendekezo lipi? Maana kubadilishwa hilo pendekezo hapo sio kwamba yanga ndio walipendekeza.
Kama Yanga walipendekeza maanake tulipaswa kuona usajili mpya leo maana ndio siku ya mwisho kuwasilisha majina CAF. Lakini baada ya tu ya taarifa ya TFF kutoka hapo hapo Simba wakatangaza mchezaji mpya. Leo ndio dirisha la CAF linafungwa saa sita usiku
 
Ni uamuzi wa kipuuzi saana. Tatizo TFF inaendeshwa na Simba na Yanga. Mo anataka kurudisha ela yake wakati GSM anataka kuuza jersey. R.I.P JPM. Asingekubali ujinnga huu. Hakuna uzalendo hapa. Bahati mbaya wachambuzi wetu mbuzi nao wameunga mkono...
 
Umejuaje kama Yanga ndio wamepeleka hilo pendekezo?
Kama ni wao wamependekeza je inamaana imewapendekezea timu zingine badala ya wao wenyewe? Maana leo ndio mwisho wa kuwasilisha majina CAF asa imekuaje wao Yanga hawatangaza mchezaji mpya ili kufikisha wachezaji zaidi ya kumi?
 
Kutoka 5, sijui ikaenda 8 ile, halafu 10 na sasa 12...

Hivi hawajui wanaua vilabu vivyo na uwezo wa kifedha...

Pia bado utataka timu ya Taifa kwa asilimia kubwa itoke Yanga, Simba na Azam...ambazo ndizo zitasajili hao 12 na kuwa rotate kwenye first 11...
 
Tz tuna timu saizi 16,usiangalie timu 3 tu
Mkuu tuache kusema tofauti, timu ya taifa inahitaji experienced player katika mashindano kutokana na washindani anao kutana nao uwanjani, hivyo basi Yanga, Simba na azam ndo wachezaji wao wanacheza mashindano ya kimataifa na hilo ndo linabidi lisaidie timu ya taifa

Au njoo uniambie ni mchezaji gani nje ya hizi timu ana impact kubwa kwenye timu ya taifa, ukiachana na wanaocheza nje ya nchi
 
Kile kipindi simba inawachezaji almost wote local tulikuwa tunatolewa round ya kwanza caf cl. Na timu ya taifa ndio ilikuwa kichwa kibovu. Hata sasa msimu wa ligi unaisha na hakuna local player aloyeparfom 100% . Ukiambiwa utafute replacemeny ya chama au mickey katika local player utampata? Lazima tukubali, ubora wa ligi yetu na kupanda kwa ligi yetu imechanhiwa na hawa hawa foreign players, nadiliki kusema bila foreign players hii ligi yetu ingekuwa kama ya rwanda au kenya tu, hawa watu wameleta mvuto. Uwepo wa chama haumzuii mchezaji wa ndani kutofanya vizuri. Pili timu inasajili wachezaji 30. Sasa kama hao 18 waliobaki wanashindwa kuwin number kwa hao 12 utamlaumu nani?
 
12 sio mbaya, lakini kulimit idadi ya wanaocheza kuwa 8 pekee haijakaa vizuri.....
 
Fanyeni usajili ili mpunguze lawama kwa TFF.

Khalid Aucho asingeweza kuchagua the lowest ranked club vs Highest ranked Club, kingine waganda wanafanikiwa sana Simba na kuna mganda mwenzake unafikri angekataa ?

Timu ambayo ina historia ya kutolipa mishahara ipambane na Simba kwenye dirisha la usajili ?
 
Tatizo ni namna kanuni ilivyp pitishwa.

Iweje klabu moja itambue mapema kuwa kanuni itabadilishwa katika wiki la misho la usajili na timu nyinginezo zikose hiyo taarifa ya awali.
Kwani dirisha la usajili limefungwa ?
 
Umeandika kishabiki,kitopoli,kinyani nyani
1. HAO WACHEZAJI 12 WA KIGENI NI SIMBA TU WALIORUHUSIWA?

2. AZAM KWANI USAJILI UMEFUNGWA KUSEMA HAWAWEZI ONGEZA?

MALALAMIKO FC,MANARA FC,MPILI FC, Mnalalamika kama wamama walokosa wana....mpira ni mchezo wa wazi unaonekana....

 
Simba haijagombea mchezaji na Yanga....hapo Yanga mnajipa moyo sana ...wachezaji wamegundua ujanja kama wanatakwa na Yanga wanasema na Simba nayo inawataka Yanga wanapandisha dau wanakuja kuta ni akina Nchimbi, Sarpong, Mwamnyeto...bure kabisa. Na wengine wanakimbia kimbia but nothing done ....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Simba inachukua wachezaji ambao inawavua wenye nao. Acha kuokota wa AS Vita waliochoka......
Msijidanganye hakuna mchezaji ambaye Simba imegombania na Yanga. Angalia Simba inakosajili utanambia.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chikwende,Lukosa,Onyango,Wawa,Boko,Kapombe,Mzamiru,Mkude,Nyoni n.k hawa wote wazee kisoka , katika usajiri wote uliofanya toka Kanjubari aanze kuwekeza wachezaji wazuri ulipata wawili tu Luis na Chama , umewauza sijuhi itakuwaje mengine yote magarasa yanakuja na kuondoka bure Shibobo n.k Huna jipya wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…