TFF Yatoa Rukhsa Klabu Za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 Wa Kigeni

Uto akili zenu mnazijua wenyewe tu, serious simba ilifanya hata mazungumzo na hao uliowataja? Lini,wapi na saa ngapi? Ndo mnajifariji kihivyo? Hebu badirikeni basi,na nasikia Manara ndo atawasaidia kupata matokeo msimu huu!, tukutane uwanjani,na hao wachezaji wenu mliopewa msaada na As Vita.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Nitajie first 11 ya Senegal nambie inawachezaji wangapi wa ndani
Mkuu umeelewa hoja lakini?!!sasa senegal hiyo first 11, hata kama ni wachezaji wako nje, ya nchi lakini si ni wasenegali?sasa hapa hao wachezaji wanaocheza nje mnao?ki ukweli hapo sasa ndio timu ya taifa itatoka wapi?simba , yanga, azamu zote zisajiri wachezaji hao 8, na wawe wanacheza, muda wote hapo wabongo wawe, 9 tu, kuna nini hapo?
 
Wachezaji wa ndani hawanyimwi nasafi cha msingi wapambane waache uvivu mbona kina kapombe na m.hussein wanapata namba simba? Uzembe na uvivu wao ndo sababu ya kusajiriwa hawa wa kigeni et? Team kma yang n simba hazwez subr et ajibu au kaseke wacheze kwa kujituma nd ikafny vzuri caf lazm isajiri wenyew njaa na wanaojituma
 
Hata wakiongezwa pia Yanga na vilabu vingine si watafaidika sasa hofu ya nn.
Sajilini huu siyo muda wakupiga kelele then mje Tff na marefa wanawahujumu!
Kwani na muda Wa kuasilisha majina ya kigeni utaongezwa?
 
Nitajie first 11 ya Senegal nambie inawachezaji wangapi wa ndani
Duuu swali lako sijui kama umetafakari kabla ya kuuliza. Na wewe tutajie first eleven ya Taifa Stars utuambie ina wachezaji Wa nje wangapi!
 
Hivi mpira ni kupambana tu uwanjani!!bila kuwa na msingi mzuri toka umri mdogo!!unafikiria bahati aliyoipata samata ni wote wanaweza kuipata??mtu ni mchezaji wa timu kubwa tu ya daraja la kwanza, kutuliza tu mpira hawezi unagonga ugoko!!akipewa apige danadana ni chumba kizima atakimaliza!!kuna nini hapo?!!
Huwezi kutegemea hiyo njia ya bahati nasibu tu, mpira ni sayansi mkuu!!!
 
Nadhani wanawaiga Waingereza huko timu zina utitili wa wachezaji wa kigeni.

Na wanaweza anza hata Saba first eleven
 
Hsujafikiria ipasavyo. Kama TFF walikuwa wanaona inafaa kuongeza wachezaji 12 kwanini hawakuweka wazi mpaka wasubirie siku ya mwisho leo kupeleka majina CAF ndio watoe fursa? Hawa Azam na Yanga wanaanzia wapi kuanza kufufua mazungumzo na mchezaji ilihali tokea mwanzo mpaka kufikia tarehe 13 hawakuwa na taarifa yoyote kutoka TFF ikitoa ruhusa. Kwanini walipotoa tu tangazo Simba wakamtangaza mchezaji mpya? Hauoni kama Simba na TFF kuna mazingira yameifanya ili kuinufaisha timu moja pekee?
 
Na usajili wake mbaya toka aje amechukua ubingwa mara 4 vpl na robo fainal mara 2 CAF? mbona unaumia kwa jambo dogo sana?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nyie huwa mnateseka sana.hamnenepi kwa sababu ya roho mbaya,chuki,wivu,uchawi na husda..chooni mnakunya mavi magumu kwa shida na sura mnakunja sana sababu yaani mna experience maumivu kila kona....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Mnaenda kushtaki wapi sasa? Tujue. FIFA,CAS,CAF? au CUF,CCM,CDM? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnaenda kushtaki wapi sasa? Tujue. FIFA,CAS,CAF? au CUF,CCM,CDM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeuliza maswali kama umeshindwa kujibu unapita kushoto sio ukoment ili mradi uonekane umejibu. Napenda sana kujadiliana kwa hoja kuliko maneno ya mipasho, ngonjera na taraabu.
 
Hata Simba pia Ni timu ya Taifa boss!!
 
Namshangaa ata mimi mtoa mada. Muda wote wezentu wanawaza propaganda tu bila kuweka uhalisia
 
Kwa hiyo unashauri tukaimarishe timu za vijana na mwaka huu huu hesabu hiyo ivisaidie vilabu vyetu kwenye mashindano ya kimataifa!? Are you serious kweli?
 
Na mimi nmeuliza swali. Mnaenda kushtaki wapi sasa? Tujue. FIFA,CAS,CAF? au CUF,CCM,CDM?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimeuliza maswali kama umeshindwa kujibu unapita kushoto sio ukoment ili mradi uonekane umejibu. Napenda sana kujadiliana kwa hoja kuliko maneno ya mipasho, ngonjera na taraabu.
 
Sasa wachezaji wa ndani hawana ubora unategemea nn , yaani uendelee kuwaveba tuu kisa ni wachezaji wa ndani. ?
 
Tukiwa na uwezo wa kuzalisha wachezaji bora wa ndani idadi itapungua.saizi hatuna wachezaji bora kabisa wa ndani, wakipewa nafasi hata hawafanyi chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…