TFF Yatoa Rukhsa Klabu Za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 Wa Kigeni

Manina zake mbwiga mbwa huyu msomali.
 
12 ni wengi sana tunawamaliza vijana wetu bureee
 
Nitajie first 11 ya Senegal nambie inawachezaji wangapi wa ndani
Timu yetuya Taifa brother haina wachezaji wanaocheza nje ya nchi, na ndio tunahitaji uwekezaji wa wachezaji wa ligi yetu ya ndani kwanza

Pili, hatuna management inayoweza kuwatafutia wachezaji timu za nje ya nchi Kwa wingi kama senegal wanavyofanya

Pia Senegal ni moja kati ya zile nchi za francophone, nchi hizo wana access kubwa ya kupeleka wachezaji wao nchi ya Ufaransa kwa wingi sana

Je, ww taifa lako linapeleka wachezaji wapi, hivyo basi kabla ya yote hayo inabidi kama taifa tuanze na kuwajali na Kuwatengenezea mazingira mazuri wachezaji wetu wa ndani
 
Basi kumbe tunatakiwa kuwa na management imara kwanza ili tukuze vipaji harafu wakikosa namba kwa kutokana na wageni kuwa wengi ndo tufikirie kupunguza idadi sasa ila so sahv
 
Basi kumbe tunatakiwa kuwa na management imara kwanza ili tukuze vipaji harafu wakikosa namba kwa kutokana na wageni kuwa wengi ndo tufikirie kupunguza idadi sasa ila so sahv
Inabidi ifanyike mipango ya kuwasaidia wachezaji wa ndani na sio mipango ya kuongeza wachezaji wa kigeni, na nchi zote zinazofanya vzr Afrika hata Club zao zinafanya vizuri pia
 
Inabidi ifanyike mipango ya kuwasaidia wachezaji wa ndani na sio mipango ya kuongeza wachezaji wa kigeni, na nchi zote zinazofanya vzr Afrika hata Club zao zinafanya vizuri pia
Club gan ya Senegal inayo fanya vzr africa? Sawa tuje bongo mchezaji gani kakosa nafasi kisa ujio wa wageni? Au uzembe na uvivu wa wazawa ndo umefanya kuwe na ongezeko la wageni? Mm naona wazawa wajitume watapata nafasi na hao wageni watapungua tu.
 
Kwa hiyo unashauri tukaimarishe timu za vijana na mwaka huu huu hesabu hiyo ivisaidie vilabu vyetu kwenye mashindano ya kimataifa!? Are you serious kweli?
kwahiyo ukisha ongeza hiyo idadi ndo itakufanya ufanye vizuri miaka yote kimataifa? wazungu wamefanikiwa kwa sababu wanatumia akili nyingi kwenye mipango yao,hivyo wameweka long term plan katika mambo yao.jiruhusu kufikiri
 
Ungejibu swali langu basi ,vilabu kwa maka huu vikatumie hawa vijana ambao wewe unaamini hawapo kwenye vilabu hivi kweli umetafakari vizuri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…