TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

Mm mara baada ya kuskia m/kiti wa kamati tu nikachagua nchi ya kushangilia..... Kwann niteseke wakati watu wanafanya siasa kwenye soka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunafanya masihara Kwa kuingiza siasa tunasahau hata kilichotokea Lethoto ni kauli za jiwe za siasa.
Uganda wameambiwa na M7 anataka ushindi tuu licha ya kufuzu Kwa fainali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona unataka kua mtabiri asee

una uhakika stars ikishinda makonda ataongea maneno uliyoandika?

unaweza kutuhakikishia uadui wa Mo na makonda kama ulivyoandika?

hiyo kamati ulitaka mwenyekiti awe nani?

unaweza kuthibitisha kwa tafiti kwamba makonda anachukiwa na watu kama ulivyoandika?
 
Utakuwa huna akili ya kupima mambo. Mitandaoni ambako ndio sehemu ya wengi kuonyesha hisia zao kuko wazi kuwa kiburi na ushamba wa Makonda kumemtenganisha na wengi ndio maana anatumia wasanii Kwa gharama kubwa kubeba jina lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa huna akili ya kupima mambo. Mitandaoni ambako ndio sehemu ya wengi kuonyesha hisia zao kuko wazi kuwa kiburi na ushamba wa Makonda kumemtenganisha na wengi ndio maana anatumia wasanii Kwa gharama kubwa kubeba jina lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungenambia sina akili kwasababu nimewaza tofauti na wewe ningekuelewa

Lakini unaposema mtu fulani anachukiwa na watu wengi halafu rejea yako inakua ni mitandao ya kijamii, nashindwa kukuelewa

umeshafanya tafiti ukagundua watanzania wote wanatumia mitandao ya kijamii?
 
Wabongo tunakuwa vichekesho.. Tuna Taasisi iliyoundwa kisheria kusimamia soka lakini haiwezi kufanya kazi yake hadi iundiwe kamati ya watu walio nje kwanza.. Si bora TFF ingefutwa kwanza?
 
Makonda Amewakosea Nini Chadema? Kwa Taarifa Yenu Stars Itashinda Na Magufuli Atapewa Sifa Kwa Kuivusha
 
Sisi tunafanya masihara Kwa kuingiza siasa tunasahau hata kilichotokea Lethoto ni kauli za jiwe za siasa.
Uganda wameambiwa na M7 anataka ushindi tuu licha ya kufuzu Kwa fainali

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama museveni alikuwa anamaanisha alichokiongea nadhani anamaanisha kinyume chake tu
 
Sasa hicho ni kikundi cha wafanyabiashara na hapo makonda ndio muda wa kunyanga'anya kwa kusingizia stars. Huyo farukh ni tsn, bin kleb afroil, hersi ndio msimamiz wa GSM,faraj ni Asas na Ndugu yake farid nahid, kuna mo hapo na Nassor pia namuona sijui kama watatoa hela sababu zamn walikuwa wanachngia huku kodi wanabania siku hizi mnawabana kila Kona letu jicho
Watu wanataka wapigwe hapo!
 
Zama za RizOne KIKWETE zimeisha baada ya JK kustahafu Urais ,kwa mujibu wa Katiba ..kipindi KIKWETE Rais ,RizOne aliwekwa kila kamati na zingine alikataa..kamati za uchaguzi mwenyekiti alikua RZ1
 
Amna kitu apo tulishaharibu wenyewe kufuzu N majaliwa tu
 
Back
Top Bottom