Na nakuhakokishia kamati hiyo MO atakuwepo jina tuu.Nililiona hilo!
Na kuna Ma Konda na Mo
Nadhani ni upatanisho wa Kisarufi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunafanya masihara Kwa kuingiza siasa tunasahau hata kilichotokea Lethoto ni kauli za jiwe za siasa.Mm mara baada ya kuskia m/kiti wa kamati tu nikachagua nchi ya kushangilia..... Kwann niteseke wakati watu wanafanya siasa kwenye soka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa huna akili ya kupima mambo. Mitandaoni ambako ndio sehemu ya wengi kuonyesha hisia zao kuko wazi kuwa kiburi na ushamba wa Makonda kumemtenganisha na wengi ndio maana anatumia wasanii Kwa gharama kubwa kubeba jina lakembona unataka kua mtabiri asee
una uhakika stars ikishinda makonda ataongea maneno uliyoandika?
unaweza kutuhakikishia uadui wa Mo na makonda kama ulivyoandika?
hiyo kamati ulitaka mwenyekiti awe nani?
unaweza kuthibitisha kwa tafiti kwamba makonda anachukiwa na watu kama ulivyoandika?
Ungenambia sina akili kwasababu nimewaza tofauti na wewe ningekuelewaUtakuwa huna akili ya kupima mambo. Mitandaoni ambako ndio sehemu ya wengi kuonyesha hisia zao kuko wazi kuwa kiburi na ushamba wa Makonda kumemtenganisha na wengi ndio maana anatumia wasanii Kwa gharama kubwa kubeba jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wajomba walikorofishana kwanini mkuu?Nililiona hilo!
Na kuna Ma Konda na Mo
Nadhani ni upatanisho wa Kisarufi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani na mimi nimewaza kama wewe mkuu,jirani yake chidi benz alimpa bonge la advise
AiseeeeHapa itabidi tupigwe tu huyu zero brain aliyeshindwa kumpa mkewe mtoto kwa kiuno hadi akasaidiwa na mchina atawezaje kuifanya timu kushinda?TFFCCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ishinde njaa na kama ni magoli labda huyo zero brain aingie Uwanjani afunge yeye hayo magoli.Makonda Amewakosea Nini Chadema? Kwa Taarifa Yenu Stars Itashinda Na Magufuli Atapewa Sifa Kwa Kuivusha
Sidhani kama museveni alikuwa anamaanisha alichokiongea nadhani anamaanisha kinyume chake tuSisi tunafanya masihara Kwa kuingiza siasa tunasahau hata kilichotokea Lethoto ni kauli za jiwe za siasa.
Uganda wameambiwa na M7 anataka ushindi tuu licha ya kufuzu Kwa fainali
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanataka wapigwe hapo!Sasa hicho ni kikundi cha wafanyabiashara na hapo makonda ndio muda wa kunyanga'anya kwa kusingizia stars. Huyo farukh ni tsn, bin kleb afroil, hersi ndio msimamiz wa GSM,faraj ni Asas na Ndugu yake farid nahid, kuna mo hapo na Nassor pia namuona sijui kama watatoa hela sababu zamn walikuwa wanachngia huku kodi wanabania siku hizi mnawabana kila Kona letu jicho