Mungu ijalie Uganda itukung'ute mamikono kama yoteee.Siku Okwi atupige mahat trick mwanawane mpaka Bashite ajinyeeeeee nyeeeee,Jerry Muro makamasi yamdondoke na Karia Akalie jiweeeeeeeeAmna kitu apo tulishaharibu wenyewe kufuzu N majaliwa tu
Mimi nishawapuuzilia mbali .Kila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana!
Akina teshiba ni wanafiki tu. Hakuna cha uzalendo wala naniliu ya uzalendo.Mimi nishawapuuzilia mbali .
kuingiza Makonda kumefanya robo 3 ya watanzania kuitosa timu yaoMi naomba wapigwe hamsa.
Sijui nani alifikiria vibaya kumweka huyu ! Kwa kweli jana nimemwangalia nikachoka!Wanatufanya watu wote wapumbavu!kuingiza Makonda kumefanya robo 3 ya watanzania kuitosa timu yao
Uzalendo ni pamoja na maadili mema. Sasa kama mtu unafoji vyeti huo ni uzalendo?! Aweke vyeti mezani au ajiandikishe kuresit kidato cha nne. Uzalendo wa wizi wizi hatuutakikuingiza Makonda kumefanya robo 3 ya watanzania kuitosa timu yao
tupo kamanda ...kama mbwai na iwe mbwai !The cranes tukutane hapa.
Ova