Mkuu tutashangiliaje Timu ya Taifa ili kama Taifa hatuna Amani....!Hii inanikumbusha ile hadithi ya mbwa mwitu aliyemuua swala kwa kosa la mjomba wake..., sasa makosa ya hao mabwana yanaingiaje kwenye timu ya taifa ? au timu haiitwi Taifa Stars ?
Mkuu ukiweka masharti ya wewe kuishabikia timu ya taifa eti kwa sababu ya fulani na fulani unakuwa hujitendei mema wewe mwenyewe.Kila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana! uzalendo ni tunda la haki,usaw,upendo na umoja! PKatika jamii iliyojaa chuki,uonevu ,fitna ,uzandiki na unafiki usitarajie kuwe na Uzalendo!
kwa hiyo wewe utaishangilia Uganda.Kila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana! uzalendo ni tunda la haki,usaw,upendo na umoja! PKatika jamii iliyojaa chuki,uonevu ,fitna ,uzandiki na unafiki usitarajie kuwe na Uzalendo!
Ikitokea ikashinda Taifa Stars usije kuipongeza kinafiki. Huyo Bashite ni mtu mdogo sana kulinganisha na bendera za Tanzania.Ni undezi kuhamasishwa uzalendo na bashite, nipo nawaombea hapa cranes waifunge Taifa stars chini ya kamati ya kina bashite.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na kazi yake, Stars kazi yao ni kutunza Amani ? Mpira hauna dini, wala Chama ndio maana enzi za Blatter serikali ikiingilia tu mambo ya mpira nchi inapigwa BANMkuu tutashangiliaje Timu ya Taifa ili kama Taifa hatuna Amani....!
Halafu wanakuja na majibu ya shombo eti Tundu alijipiga risasi mwenyewe ili apate Kiki, halafu wanataka na sisi tuwe wazalendo.Unawezaje kuwa mzalendo kwa taifa ambalo watu wake wakifanyiwa ukatili serikali inachukulia poa tu? Rejea ukimya wa serikali ya Magufuli kwenye tukio la shambulio la Tundu Lissu
Hapana Mkuu..nikikumbuka usiku ule Tundu Lisu anapelekwa uwanaja wa ndege Dodoma ,kwenda Nairobi,nikimkumbuka Ben Saanane ,Azori na wengine ...nachefuka !Mkuu ukiweka masharti ya wewe kuishabikia timu ya taifa eti kwa sababu ya fulani na fulani unakuwa hujitendei mema wewe mwenyewe.
Duniani hawaishi malaika, wanaishi wanadamu, tazama timu yako ya taifa pasipo kutafuta sababu ya kuichukia.
Vuka mipaka ya kumtazama mtu, itazame timu yako ya taifa, ishangilie kana kwamba hao watu hawajawahi hata kuzaliwa!.
Huhujui Siasa wewe!Kila mtu na kazi yake, Stars kazi yao ni kutunza Amani ? Mpira hauna dini, wala Chama ndio maana enzi za Blatter serikali ikiingilia tu mambo ya mpira nchi inapigwa BAN
Bila shaka Mkuu ...kama wahamasishaji ndio hawa!kwa hiyo wewe utaishangilia Uganda.
si ndio hapo inamaana wamekusekana watu wa mpira mpaka akina bashite wamewaweka kwenye hio kamati hapo wameharibu kila kitu ujueKila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana! uzalendo ni tunda la haki,usaw,upendo na umoja! PKatika jamii iliyojaa chuki,uonevu ,fitna ,uzandiki na unafiki usitarajie kuwe na Uzalendo!
Poa muhamasishe na mama yako ili muwe wengi Siku Hiyo.Bila shaka Mkuu ...kama wahamasishaji ndio hawa!
Mkuu kama ushabiki wako wa Taifa Stars unauhusisha na matukio ya kisiasa basi sio vibaya ukakaa tu nyumbani, sisi wengine tutakuwakilisha.Hapana Mkuu..nikikumbuka usiku ule Tundu Lisu anapelekwa uwanaja wa ndege Dodoma ,kwenda Nairobi,nikimkumbuka Ben Saanane ,Azori na wengine ...nachefuka !
Kiongizi wa muslim brotherhood ni mwenyekiti wa kamati ya ushindi?Mkuu kama ushabiki wako wa Taifa Stars unauhusisha na matukio ya kisiasa basi sio vibaya ukakaa tu nyumbani, sisi wengine tutakuwakilisha.
Sidhani kama kitapungua kitu chochote. Misri inazo siasa chafu kuliko za kwetu lakini ni wababe wa soka wa Afrika.
Halafu wanakuja na majibu ya shombo eti Tundu alijipiga risasi mwenyewe ili apate Kiki, halafu wanataka na sisi tuwe wazalendo.
Maendeleo hayana chama
Hawana kamati za ushindi kama huku, michezo yao inajitegemea haichanganywi na umaarufu wa kisiasa.Kiongizi wa muslim brotherhood ni mwenyekiti wa kamati ya ushindi?