TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

Hii inanikumbusha ile hadithi ya mbwa mwitu aliyemuua swala kwa kosa la mjomba wake..., sasa makosa ya hao mabwana yanaingiaje kwenye timu ya taifa ? au timu haiitwi Taifa Stars ?
 
Mkuu tutashangiliaje Timu ya Taifa ili kama Taifa hatuna Amani....!
 
Kila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana! uzalendo ni tunda la haki,usaw,upendo na umoja! PKatika jamii iliyojaa chuki,uonevu ,fitna ,uzandiki na unafiki usitarajie kuwe na Uzalendo!
Mkuu ukiweka masharti ya wewe kuishabikia timu ya taifa eti kwa sababu ya fulani na fulani unakuwa hujitendei mema wewe mwenyewe.

Duniani hawaishi malaika, wanaishi wanadamu, tazama timu yako ya taifa pasipo kutafuta sababu ya kuichukia.

Vuka mipaka ya kumtazama mtu, itazame timu yako ya taifa, ishangilie kana kwamba hao watu hawajawahi hata kuzaliwa!.
 
kwa hiyo wewe utaishangilia Uganda.
 
Mkuu tutashangiliaje Timu ya Taifa ili kama Taifa hatuna Amani....!
Kila mtu na kazi yake, Stars kazi yao ni kutunza Amani ? Mpira hauna dini, wala Chama ndio maana enzi za Blatter serikali ikiingilia tu mambo ya mpira nchi inapigwa BAN
 
Unawezaje kuwa mzalendo kwa taifa ambalo watu wake wakifanyiwa ukatili serikali inachukulia poa tu? Rejea ukimya wa serikali ya Magufuli kwenye tukio la shambulio la Tundu Lissu
Halafu wanakuja na majibu ya shombo eti Tundu alijipiga risasi mwenyewe ili apate Kiki, halafu wanataka na sisi tuwe wazalendo.

Maendeleo hayana chama
 
Mkuu ukiweka masharti ya wewe kuishabikia timu ya taifa eti kwa sababu ya fulani na fulani unakuwa hujitendei mema wewe mwenyewe.

Duniani hawaishi malaika, wanaishi wanadamu, tazama timu yako ya taifa pasipo kutafuta sababu ya kuichukia.

Vuka mipaka ya kumtazama mtu, itazame timu yako ya taifa, ishangilie kana kwamba hao watu hawajawahi hata kuzaliwa!.
Hapana Mkuu..nikikumbuka usiku ule Tundu Lisu anapelekwa uwanaja wa ndege Dodoma ,kwenda Nairobi,nikimkumbuka Ben Saanane ,Azori na wengine ...nachefuka !
 
Kila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana! uzalendo ni tunda la haki,usaw,upendo na umoja! PKatika jamii iliyojaa chuki,uonevu ,fitna ,uzandiki na unafiki usitarajie kuwe na Uzalendo!
si ndio hapo inamaana wamekusekana watu wa mpira mpaka akina bashite wamewaweka kwenye hio kamati hapo wameharibu kila kitu ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Mkuu..nikikumbuka usiku ule Tundu Lisu anapelekwa uwanaja wa ndege Dodoma ,kwenda Nairobi,nikimkumbuka Ben Saanane ,Azori na wengine ...nachefuka !
Mkuu kama ushabiki wako wa Taifa Stars unauhusisha na matukio ya kisiasa basi sio vibaya ukakaa tu nyumbani, sisi wengine tutakuwakilisha.

Sidhani kama kitapungua kitu chochote. Misri inazo siasa chafu kuliko za kwetu lakini ni wababe wa soka wa Afrika.
 
Kiongizi wa muslim brotherhood ni mwenyekiti wa kamati ya ushindi?
 
Hivi Tundu Lissu ndio aliyeondoa CCTV kwenye hayo maeneo? Na ndio yeye aliyewaondoa walinzi Siku akishambuliwa? Tena ndio yeye amesababisha Polisi wasifanye uchunguzi?
Halafu wanakuja na majibu ya shombo eti Tundu alijipiga risasi mwenyewe ili apate Kiki, halafu wanataka na sisi tuwe wazalendo.

Maendeleo hayana chama
 
Ishakuwa gundu gunduni. Sidhani kama tutatoboa!
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Kiongizi wa muslim brotherhood ni mwenyekiti wa kamati ya ushindi?
Hawana kamati za ushindi kama huku, michezo yao inajitegemea haichanganywi na umaarufu wa kisiasa.

Cha muhimu ni kuyaweka pembeni kila aina ya maovu ya kijamii na kuitazama bendera ya taifa. Hakuna wanadamu wakamilifu chini ya jua.
 
Back
Top Bottom