TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu.

1741587442663.jpg

Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila taarifa yetu imekaa kimkakati, sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye hafahamu kuwa viwanja hivi vipo chini ya chama cha CCM na sio timu ambazo zinacheza kwenye viwanja hivyo.

unnamed (3).png

Mfano mzuri, Kiwanja cha Kirumba ambacho kimekuwa kikitumiwa na timu ya Pamba Jiji ni mali ya CCM mkoa wa Mwanza. Vivyo hivyo viwanja vya Jamhuri pamoja na Liti.

images - 2025-03-10T093220.784.jpeg

Kitu cha ajabu ni kuwa kwenye taarifa ya Ndimbo na kamati yake hawajasema wala kuweka wazi kuwa viwanja hivi ni miundombinu ya CCM, yaani CCM KIRUMBA, CCM LITI pamoja na uwanja wa Jamhuri. Na ni suala la uwazi kuwa timu hizi hazichezi michezo yake bure bila gharama, wanalipa pesa kwa wamiliki wa miundombinu hii.

images - 2025-03-10T093155.396.jpeg

Taarifa mwishoni inasema kuwa TFF inazihimiza timu kutunza na kuboresha hali za viwanja hivyo. Najiuliza kwa sauti ya kinyonge sana je, timu ya Pamba Jiji ina uwezo upi au mamlaka gani ya kwenda kurekebisha miundombinu ya uwanja wa CCM Kirumba?
 
GlqETNXXoAAw3uB.jpeg
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri, Dodoma, CCM Kirumba, Mwanza na Liti, Singida kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.

Miundombinu ya viwanja hivyo haikidhi matakwa ya Kanuni kama ilivyoainishwa kwenye masharti ya Kanuni ya Leseni za Klabu.

Kufuatia uamuzi huo, timu zinazotumia viwanja hivyo kwa michezo yao ya nyumbani zitalazimika kutumia viwanja vingine kama Kanuni inavyoelekeza mpaka viwanja hivyo vitakapofunguliwa, baada ya kufanyiwa marekebisho na kukaguliwa na TFF.

TFF inazikumbusha Klabu zote kuendelea kutunza na kuboresha miundombinu ya viwanja.
 
Soon pia hivo viwanja ambavo Dodoma Jiji,singida black star na pamba watavokimbilia navyo vitakosa vigezo baada ya kuwa vimetumika back to back na timu nyingi.Technically hapa sioni kama tukisolve tatizo.
 
Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu.

Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila taarifa yetu imekaa kimkakati, sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye hafahamu kuwa viwanja hivi vipo chini ya chama cha CCM na sio timu ambazo zinacheza kwenye viwanja hivyo.

Mfano mzuri, Kiwanja cha Kirumba ambacho kimekuwa kikitumiwa na timu ya Pamba Jiji ni mali ya CCM mkoa wa Mwanza. Vivyo hivyo viwanja vya Jamhuri pamoja na Liti.

Kitu cha ajabu ni kuwa kwenye taarifa ya Ndimbo na kamati yake hawajasema wala kuweka wazi kuwa viwanja hivi ni miundombinu ya CCM, yaani CCM KIRUMBA, CCM LITI pamoja na uwanja wa Jamhuri. Na ni suala la uwazi kuwa timu hizi hazichezi michezo yake bure bila gharama, wanalipa pesa kwa wamiliki wa miundombinu hii.

Taarifa mwishoni inasema kuwa TFF inazihimiza timu kutunza na kuboresha hali za viwanja hivyo. Najiuliza kwa sauti ya kinyonge sana je, timu ya Pamba Jiji ina uwezo upi au mamlaka gani ya kwenda kurekebisha miundombinu ya uwanja wa CCM Kirumba?
Anajiengua kwenye kusema ukweli,Alipaswa awaandikie CCM,kuwa uwanja wao hauna vigezo vya kuchezea mpira na timu husika zingeamua kusitisha Kodi!
 
Ni kweli mkuu! Unabaki kujiuliza Kirumba ndo uwanja upi!? Je Liti ni uwanja upi!? Angesema tu CCM Kirumba au CCM Liti, wadau wangemuelewa
 
Duh! Capital city ya nchi ina kiwanja cha hovyo....sie kweli akili zetu zatosha kuvuka barabara tuu
 
Nasubiri kusikia maoni ya wale walalamishi waliolalamikia uwanja wa Mashujaa kufungiwa kisa tu Yanga ina mechi mwezi wa nne na hao Mashujaa.
 
Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu.

Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila taarifa yetu imekaa kimkakati, sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye hafahamu kuwa viwanja hivi vipo chini ya chama cha CCM na sio timu ambazo zinacheza kwenye viwanja hivyo.

Mfano mzuri, Kiwanja cha Kirumba ambacho kimekuwa kikitumiwa na timu ya Pamba Jiji ni mali ya CCM mkoa wa Mwanza. Vivyo hivyo viwanja vya Jamhuri pamoja na Liti.

Kitu cha ajabu ni kuwa kwenye taarifa ya Ndimbo na kamati yake hawajasema wala kuweka wazi kuwa viwanja hivi ni miundombinu ya CCM, yaani CCM KIRUMBA, CCM LITI pamoja na uwanja wa Jamhuri. Na ni suala la uwazi kuwa timu hizi hazichezi michezo yake bure bila gharama, wanalipa pesa kwa wamiliki wa miundombinu hii.

Taarifa mwishoni inasema kuwa TFF inazihimiza timu kutunza na kuboresha hali za viwanja hivyo. Najiuliza kwa sauti ya kinyonge sana je, timu ya Pamba Jiji ina uwezo upi au mamlaka gani ya kwenda kurekebisha miundombinu ya uwanja wa CCM Kirumba?
Viwanja vyote 4 ambavyo hadi sasa vimefungiwa na TFF vipi chini ya miliki ya ccm, ambavyo ni Ali Hasan Mwinyi Tabora, Ccm Kirumba, Jamhuri Dodoma na LITI Singida, hivi vyote viliporwa na ccm kutoka kwa umma uliovijenga kabla ya mfumo wa vyama vingi, ccm imevichukua wakati haiwezi kuvitunza na kuviendeleza!

Viongozi wa ccm wilaya na Mkoa wananufaika na kodi za pango za wafanyabiashara wanao fanya biashara kwenye vibanda vinavyo zunguka viwanja hivyo, lakini hawana mpango wa kuendeleza viwanja vyenyewe!

Kwahiyo ccm ni janga la michezo Nchini, wanahusika MOJA kwa MOJA kudidimiza michezo nchini!

Busara ,hivi viwanja ,vingewekwa chini ya Halmashauri za miji husika , vingeweza kutengewa bajeti na Halmashauri na kukarabatiwa inavyo paswa
 
Hapa jambo la msingi ni kuwaambia ukweli ccm wawe na chembe ya aibu, na hivyo kuvirejesha hivi viwanja vyote vya wananchi mikononi mwa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Jiji ili waviendeleze na pia kuvitunza.

Wizi na uporaji siyo kitu cha kujivunia hata kidogo! Hivi viwanja vyote ni mali ya wananchi hata kama vilijengwa wakati wa mfumo wa siasa za chama kimoja. Kujimilikisha hivi viwanja, na wakati huo huo kushindwa kuviendeleza, ni jambo linalotakiwa kukemewa na kulaaniwa na wapenda michezo wote nchini.
 
Maua yako Mkuu! Well said
 
Na kitu cha ajabu ni kuwa wanapata kodi za maduka na ofisi ambazo zinazunguka viwanja hivi
 
Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu.

Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila taarifa yetu imekaa kimkakati, sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye hafahamu kuwa viwanja hivi vipo chini ya chama cha CCM na sio timu ambazo zinacheza kwenye viwanja hivyo.

Mfano mzuri, Kiwanja cha Kirumba ambacho kimekuwa kikitumiwa na timu ya Pamba Jiji ni mali ya CCM mkoa wa Mwanza. Vivyo hivyo viwanja vya Jamhuri pamoja na Liti.

Kitu cha ajabu ni kuwa kwenye taarifa ya Ndimbo na kamati yake hawajasema wala kuweka wazi kuwa viwanja hivi ni miundombinu ya CCM, yaani CCM KIRUMBA, CCM LITI pamoja na uwanja wa Jamhuri. Na ni suala la uwazi kuwa timu hizi hazichezi michezo yake bure bila gharama, wanalipa pesa kwa wamiliki wa miundombinu hii.

Taarifa mwishoni inasema kuwa TFF inazihimiza timu kutunza na kuboresha hali za viwanja hivyo. Najiuliza kwa sauti ya kinyonge sana je, timu ya Pamba Jiji ina uwezo upi au mamlaka gani ya kwenda kurekebisha miundombinu ya uwanja wa CCM Kirumba?
TFF wanafanya kazi nzuri sana kuzingatia ubora wa viwanja kwenye Ligi yetu.
Ila kiuhalisia kwa mazingira ya nchi yetu kupata viwanja bora ni issue kubwa sana, inabidi twende hivyohivyo KiAfrica. Kwa mfano uwanja wa Tabora ulifungiwa week zilizopita, Tabora akachagua uwanja wa kucheza uwanja wa Dodoma ambaye ndio jirani yake, sasa Dodoma pia umefungiwa, na jirani mwingine wa Tabora ni Singida na Mwanza na wenyewe pia wamefungiwa, sasa hapa mambo yanazidi kuwa magumu. Sehemu pekee yenyewe viwanja vya uhakika ni Dar.
 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefungia viwanja vya Jamhuri, Dodoma, CCM Kirumba, Mwanza pamoja na Liti,Singida kutumika kwa michezo ya ligi kuu kwa kukosa vigezo vya kanuni na sheria za Mpira wa miguu.

#Dar24media #taarifabilamipaka
 
Attachments

  • 1741606268056.jpg
    1741606268056.jpg
    206.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom