Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Sawa Kwa Hyo Leo Tra ikikupandishia Kodi Kubwa anashitakiwa Ni Kamishina Wa Tra?Watu mnachangia huu uzi mnatakiwa kuelewa ukiwa kiongozi wa taasisi maana yake wewe ndo upo responsible kwa makosa ya taasis yako.
Ndo mana taasis ikiboronga.. anayeliwa kichwa ni CEO
Huyu jamaa ananifanya hata nianze kuamini maneno ya Manara kua mwenye akili timamu pale Yanga ni Baba yake na Mzee JK tu.Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.
Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?
Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?
Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
We nawe usijitoe ufahamu ukajivurugia sifa yako ya kutokuwa shabiki wa hizi timuKuwa Mc ni kushiriki soka? Yaani kuita "Abdalla njoo" unakuwa umeshiriki soka? Hizi sheria mmesomea chuo gani nyie. Hii kesi inashindwa kwenye Mahakama huru kabla ya saa 4 asubuhi. Hivi shabiki mmoja angemtukana Feitoto angeitwa na TFF? Au muuza karanga angemkanyaga mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam, ingekuwa soccer case?
Huo mfano ni irrelevant.... hujaelewa hoja yangu...Sawa Kwa Hyo Leo Tra ikikupandishia Kodi Kubwa anashitakiwa Ni Kamishina Wa Tra?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu atakua engineer wa kuunga unga na mpira na wahandisi wapi na wapi halafu unakuaje rais wa mpira unaemdeshwa na vimihemko vya jamaa tu eti anataka kupendezesha siku ya wananchi kwa kutangaza wachezaji. Ngoja tuzame tukague GPA zako kwanzaVyema kabisa, Engineer anakuaje mhuni?
Wewe kolo mbona nimekuuliza kuwa manara aliruhusiwa na kamati kuingia viwanjani je huko sio kujihusisha na mpira ?Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.
Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?
Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?
Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
mzee wa twiga aache mambo ya msingi ashuhulike na Tff[emoji23][emoji23]We jamaa unanifurahishaga sana.
Mi nashangaa watu wanakomalia kutetea ujingaSielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.
Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?
Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?
Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
Kuingia uwanjani sio kwenda kucheza mpira, au kuwa MC, alitakiwa kuingia uwanjani atulie kimya ikibidi hata uwepo wake usijulikane.Wewe kolo mbona nimekuuliza kuwa manara aliruhusiwa na kamati kuingia viwanjani je huko sio kujihusisha na mpira ?
Hata FIFA wenyewe wnavunja sheria sembuse bongo? Chelsea imechezewa mchezo mchafu na serikali ya uingereza hao Fifa wako walikuwa wapi? Au ndo Yale ya kunya kanya kuku, akinya bata .......😂😂😂😂😂
Matatizo ya kutokuheshimu taratibu zetu yapo kila kona katika Tanzania.
Sasa kulikuwa na sababu gani ya Manara kuwa MC jana? Kiburi na ujinga tu.
Tumezoea kuendesha mambo kihunihuni ndio maana hakuna kitu cha maana kìnafanyika.
Check that press releaseMmh ya kweli hayo?
Dada jibu swali acha tilalila . Je manara kuingia uwanjani Jana kwenye tukio la KIMPIRA je angekaa kimya angekuwa hajajihusisha na mpira?😂😂😂😂Kuingia uwanjani sio kwenda kucheza mpira, au kuwa MC, alitakiwa kuingia uwanjani atulie kimya ikibidi hata uwepo wake usijulikane.
Sijui kwanini mnahangaika sana kumtetea huyo kichaa, au nanyi ni vichaa wenzake?!
Msimkuze huyo bwege, hana tofauti yoyote na wengine wanaotumikia adhabu zao kwa adabu, yeye ni muhuni tu.
Tatzo huyo injinia wa mchongo anapenda sana kick.Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi kumbe nae hamna kitu, ameiharibu sana title yake ya "Rais wa klabu".
Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za michezo ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.
Kwani ile haikuwa shughuli ya michezo? Kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu kali kwa wote wawili.