TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.

Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?

Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
Huyu jamaa ananifanya hata nianze kuamini maneno ya Manara kua mwenye akili timamu pale Yanga ni Baba yake na Mzee JK tu.
 
Kuwa Mc ni kushiriki soka? Yaani kuita "Abdalla njoo" unakuwa umeshiriki soka? Hizi sheria mmesomea chuo gani nyie. Hii kesi inashindwa kwenye Mahakama huru kabla ya saa 4 asubuhi. Hivi shabiki mmoja angemtukana Feitoto angeitwa na TFF? Au muuza karanga angemkanyaga mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam, ingekuwa soccer case?
We nawe usijitoe ufahamu ukajivurugia sifa yako ya kutokuwa shabiki wa hizi timu

Ukishafungiwa kujihusisha na tukio lolote linalo husiana na mpira husuasani lile linalo husiana na TFF halafu ikatokea event ya mpira ukajitokeza kama MC

Hapo utakuwa umeshiriki, kwani kazi ya manara ni kucheza?

Si ndio hiyo hiyo kuongea, sasa alivyofungiwa mlitafsiri sheria kama kafungiwa kucheza?
 
Vyema kabisa, Engineer anakuaje mhuni?
Huyu atakua engineer wa kuunga unga na mpira na wahandisi wapi na wapi halafu unakuaje rais wa mpira unaemdeshwa na vimihemko vya jamaa tu eti anataka kupendezesha siku ya wananchi kwa kutangaza wachezaji. Ngoja tuzame tukague GPA zako kwanza
 
Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.

Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?

Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
Wewe kolo mbona nimekuuliza kuwa manara aliruhusiwa na kamati kuingia viwanjani je huko sio kujihusisha na mpira ?
 
Yanga ni dude kubwa sana zaidi ya vilabu vyote tanzania

Haiwezi fungiwa timu wananchi
 
Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.

Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?

Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
Mi nashangaa watu wanakomalia kutetea ujinga

Hiyo event ingekuwa ni kipaimara au kuna mzalamo anachezwa tungesema sawa
 
Wewe kolo mbona nimekuuliza kuwa manara aliruhusiwa na kamati kuingia viwanjani je huko sio kujihusisha na mpira ?
Kuingia uwanjani sio kwenda kucheza mpira, au kuwa MC, alitakiwa kuingia uwanjani atulie kimya ikibidi hata uwepo wake usijulikane.

Sijui kwanini mnahangaika sana kumtetea huyo kichaa, au nanyi ni vichaa wenzake?!

Msimkuze huyo bwege, hana tofauti yoyote na wengine wanaotumikia adhabu zao kwa adabu, yeye ni muhuni tu.
 
Huu uzi mbona unatrend sana!

Wanayanga wanajaribu kuwapambania watuhumiwa lakini wap.... tabu ipo palepale.. daa🤣🤣
 
Hawa vijana wanaendesha timu kisela

Nilijiuliza ni kwa nini mshindo msola alijitoa kugombea katikati ya mafanikio yaliyokuwa yanaendana na maboresho ambayo hayajakaimilika

Najiuliza kwa nini injinia litumia nguvu kubwa kumnanga yule dada mgombea umakamo na kumsapoti yule kijana kwa nguvu kubwa?

Naomba TFF iwape adhabu kali kwa kosa la dharau dhidi ya mamlaka na la kukusudia kabisa.

Walichokifanya ni sawa na kijana anamwona demu mzuri mweupe mwenye kifusi cha haja nyuma chuchu saa sita anaambiwa kabisa ana NGOMA wewe unambeba kwa kiburi kuwa ARV zipo
 
Matatizo ya kutokuheshimu taratibu zetu yapo kila kona katika Tanzania.
Sasa kulikuwa na sababu gani ya Manara kuwa MC jana? Kiburi na ujinga tu.
Tumezoea kuendesha mambo kihunihuni ndio maana hakuna kitu cha maana kìnafanyika.
Hata FIFA wenyewe wnavunja sheria sembuse bongo? Chelsea imechezewa mchezo mchafu na serikali ya uingereza hao Fifa wako walikuwa wapi? Au ndo Yale ya kunya kanya kuku, akinya bata .......😂😂😂😂😂
 
Mmh ya kweli hayo?
Check that press release
IMG-20220807-WA0005.jpg
 
Wakienda kwenye kamati wameumia. Dawa wasiende tu tuone watafanya nini?. Wakijitia hamnazo kuwafungia wasitii huo upambavu wao.
Tuone wataiteremsha daraja?
 
Kuingia uwanjani sio kwenda kucheza mpira, au kuwa MC, alitakiwa kuingia uwanjani atulie kimya ikibidi hata uwepo wake usijulikane.

Sijui kwanini mnahangaika sana kumtetea huyo kichaa, au nanyi ni vichaa wenzake?!

Msimkuze huyo bwege, hana tofauti yoyote na wengine wanaotumikia adhabu zao kwa adabu, yeye ni muhuni tu.
Dada jibu swali acha tilalila . Je manara kuingia uwanjani Jana kwenye tukio la KIMPIRA je angekaa kimya angekuwa hajajihusisha na mpira?😂😂😂😂
 
Yaani ukisikia ile third law of motion... to Young Afr this is good example!
If there is Action also have Reaction.... hivyo Yanga mpambane wenyewe hiyo bato mna mlijitakia!
 
Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi kumbe nae hamna kitu, ameiharibu sana title yake ya "Rais wa klabu".

Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za michezo ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.

Kwani ile haikuwa shughuli ya michezo? Kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu kali kwa wote wawili.
Tatzo huyo injinia wa mchongo anapenda sana kick.
 
Back
Top Bottom