TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Anaweza Kuwa Kama Major Songolo Marine
Waziri Mkuu Alimuuliza Wewe Ni Major Wa Jeshi Akasema Hapana Ni Jina Tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo hata nakala za FIFA husomi sasa sijui mimi na ww nani anabweka, unaongea ongea tu ili mradi na ww uonekane unaongea kumbe kilaza.

Kasome kwenye website ya FIFA utaelewa zile hela za nini najua sio kosa lako bali ni Lugha ndio haipandi.
Umejikaza kabisa na kuchamba juu usinuke mavi kwamba kujua kingereza ndio una akili?
Akili yako haina utofauti na manara rangi tu zimewatofautisha
Morison jana hakukosea kusema yanga wengi mmekimbia shule
 
Kwaiyo yanga na yenyewe unaifananisha na Chelsea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani Chelsea ndo yanga ya jangwani?
Wanashangaza mnooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa Mc ni kushiriki soka? Yaani kuita "Abdalla njoo" unakuwa umeshiriki soka? Hizi sheria mmesomea chuo gani nyie. Hii kesi inashindwa kwenye Mahakama huru kabla ya saa 4 asubuhi. Hivi shabiki mmoja angemtukana Feitoto angeitwa na TFF? Au muuza karanga angemkanyaga mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam, ingekuwa soccer case?
 
Yes Board of Trustees ya Yanga Ndio Inapashwa iwajibike Kama Hyo Board Ipo Kisheria. Hata Yanga Yenyewe Haiwezi Kushitakiwa Kama Bodi ya Wasimamizi Wa Mali za Yanga Wapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Manara anatakiwa asome kile kitabu kinaitwa ego is the enemy.
 
Sasa Kwa Nini Wamwandikie Yeye Asimamie adhabu ya Mtu Ambae Ni mtumishi Wa Taasisi Ambayo yeye ndio msimamizi badala ya Taasisi.
.
Kwamba mdau Wa mpira ndio Asimamie execution ya adhabu ya mtumishi Wa Taasisi badala ya Taasisi Yenyewe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Yanga wanajifanyaga wakuonewa sana naomba waende CAF kabisa ili rungu la kufungiwa Yanga miaka 50 litimie.
 
Sometimes huyu Takadini apuuzwe tyuuh, ukimwi plus kufake life, bas tafrani tupu. Wampuuze tyuuh.
Akichoka ataacha.
 
Mi mwenyewe nilikuwa najua lile neno Engineer limetokana na usomi kumbe ni nickname ya udalali
 
Yani siasa ndo kila kituu... Watu wanakaza ubongoo tuu
Kwani Serikali ya uingereza waliitagert Chelsea au mmiliki wake? Chelsea ilikuwa kama aset 2 ya Romani kama vile meli na ndege so ulitaka fifa aingie vip?
 
Kamati ya Maadili ya TFF imemfungulia mashitaka Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi kwa kushindwa kuheshimu matakwa ya kisheria na kanuni za TFF na klabu yake ya YANGA kwa kumruhusu Bwana Haji Manara (Mc wa mtaani) kuwa sehemu ya washereheshaji wa siku ya mwananchi hapo jana tar. 6 Agosti, 2022.
Bwana Haji anashitakiwa kwa kukiuka adhabu ya kifungo cha miaka miwili aliyopewa na kamati hiyo.

Labda tuseme "mbombo ngafu" wajameni[emoji2]

SOURCE: TFF
 
Kwanini wamemfungulia hersi sio ww? kashtakiwa kama Rais wa club cz nakala alipelekewa yeye na alitakiwa asimamie so yeye ndio anabeba wajibu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…