TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Kuwa Mc ni kushiriki soka? Yaani kuita "Abdalla njoo" unakuwa umeshiriki soka? Hizi sheria mmesomea chuo gani nyie. Hii kesi inashindwa kwenye Mahakama huru kabla ya saa 4 asubuhi. Hivi shabiki mmoja angemtukana Feitoto angeitwa na TFF? Au muuza karanga angemkanyaga mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam, ingekuwa soccer case?
Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.

Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?

Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
 

Matatizo ya kutokuheshimu taratibu zetu yapo kila kona katika Tanzania.
Sasa kulikuwa na sababu gani ya Manara kuwa MC jana? Kiburi na ujinga tu.
Tumezoea kuendesha mambo kihunihuni ndio maana hakuna kitu cha maana kìnafanyika.
 
Hivi huyo hesi naye alishindwa vipi kujiridhisha kwanza kama analotaka kulifanya halikiuki adhabu inayotumikiwa?.

Au ni kiburi tu na kuamini kwenye jeuri ya pesa?...Kamati ya maadili simamieni weledi mtu asiwababishe na pesa zake.
Mkuu ni kiburi tu
 
Watu mnachangia huu uzi mnatakiwa kuelewa ukiwa kiongozi wa taasisi maana yake wewe ndo upo responsible kwa makosa ya taasis yako.

Ndo mana taasis ikiboronga.. anayeliwa kichwa ni CEO
 
Soma barua vizuri hersi hakuitwa personal ameitw kama kiongozi/mwajiri wa manara / raisi wa club ya yanga
Sasa hapo Tff wakitoa adhabu nani ataitumikia Hersi au Yanga ?😂😂😂😂
 
Mara zote tatizo huanzia mbali sana. Binafsi mimi nilianza kuona tatizo pale tu ambapo MANARA anaitwa kamati ya maadili na KARIA haitwi.

Tatizo lilianza pale, pamoja na URAIS WA TAASISI, KARIA alipaswa pia kuitwa na kamati ya maadili ili naye atoe maelezo yake na ikiwezekana wote waadhibiwe.

Tumeona hapa Sepp Blatter akila rungu la FIFA kwa kutumia kamati kama hiyo hiyo, why Karia asiitwe naye akahojiwa na mashahidi wakaitwa ili kujua shida ilikuwa ya nani??

Pia kwenye hukumu ya Manara kuna kosa kubwa lilieleezwa na mwenyekiti wa kamati kuwa MANARA amezuiliwa kushiriki au kijuhusisha na masuala ya mpira kwa miaka 2, na kwamba anaruhusiwa kwenda uwanjani kama shabiki, anaruhusiwa kupost chochote kama shabiki ila haruhusiwi kama KIONGOZI WA SOKA.

Haya swali kwanza mtu kwenda UWANJANI sio kujihusisha na MPIRA??

Je kama hukumu na maelezo ya mwenyekiti wa kamati kuwa amezuiliwa kama kiongozi, JE JANA MANARA ALIENDA PALE KAMA KIONGOZI AU MSHEREHESHAJI???

Mwisho kabisa, Mpira wetu unaendeshwa zaidi na ushabiki badala ya uhalisia.
Uhalisia ni upi??

1. Manara afungiwe kujihusisha na mpira kwa muda uliwekwa kutokana na kukaidi agizo hilo na kugombana na Rais wa Shirikisho.

2. Karia afungiwe kama kwa kutojihusisha na mpira kwa kugombana na Manara. Yes imetamkwa kugombana na sio kungomewa.

Kwenye tukio lile WALIGOMBANA na wote walikuika sheria, haijalishi wewe ni nani lkn usivuke mpaka wa uongozi wako.
 
Kumbe senzo alingundua mapema ndo mana akasepa.. Manara anaenda kuwagharimu Yanga pakubwa sana.

Na huyo Hersi inaonekana hana akili kabisa ya ku reason mambo... Huwez kuwa Rais unakubali kwenda kinyume na regulator.. ni utoto wa hali ya juu sana
 
Sasa Kwa Nini Wamwandikie Yeye Asimamie adhabu ya Mtu Ambae Ni mtumishi Wa Taasisi Ambayo yeye ndio msimamizi badala ya Taasisi.
.
Kwamba mdau Wa mpira ndio Asimamie execution ya adhabu ya mtumishi Wa Taasisi badala ya Taasisi Yenyewe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hersi kulingana na hiyo barua iliyoandikwa kwake ametumika kama mdau wa mpira, lakini ndani yake ndie mwenye hicho cheo cha Urais.

Sasa kama hiyo barua aliyoandikiwa mwanzo ilikuwa na TFF aliona ina tatizo alitakiwa kuli address mapema, lakini kukaa kwake kimya maana yake alikubaliana na maelezo ya ile barua, ila ndio amekuja kuyavunja hiyo jana.

Sidhani kama TFF ni wajinga wakati wa kuandika ile barua hawakujua kama huyo "Mhandisi Said" ni Rais wa klabu ya Yanga SC.
 
Wamekosea Kwa Hersi Kushitakiwa personally badala ya Kuishitaki Taasisi Ya Yanga Ambayo Hyo Taasisi ina Bodi ya Wadhamini.
.
Hawa Tff Kama Akili Hawana
.
Hersi ametambuliwa kama Rais Wa Yanga so Maamuzi Yoyote anayoyafanya Hersi anakuwa under capacity ya Rais Wa Yanga na Sio Yeye Personally.
.
Maana yake Ni kwamba ilitakiwa ishitakiwe Board of Trustees ya Yanga na Sio Hersi Kwa Majina Yake.
.
Hersi Hajafanya Makosa Bali Taasisi inayoitwa Yanga ndio imefanya Makosa.
.
Hyo Secretariat ya Tff itabidi ithibitishe bila kuacha shaka Kwamba Ni lini Hersi amemuita Haji aje uwanjani Kuwa MC Wa Yanga Whether Kwa Barua au Kwa maneno.
.
Kuna wakati Lazima Uwe na akili ya Kufikri Vyema.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi nadhani akiitwa mahakamani Hersi ndio atataja hao wengine

Ukikutwa na maiti ya mtu aliyeuwawa lazima mamwela wakusombe bila kuangalia kama wamekuta na vidhibitisho au lah

Hilo swala la kujua ni wewe au ni nani litajulikana mahakamani kulingana na utetezi wako
 
Kwanini wamemfungulia hersi sio ww? kashtakiwa kama Rais wa club cz nakala alipelekewa yeye na alitakiwa asimamie so yeye ndio anabeba wajibu wote
Kipindi cha huko nyuma yanga wamewahi kuitwa kamati ya maadili au hawakuwahi? Kama waliwahi kuitwa je alikwenda Mshindo msola?🙏🙏🙏🙏
 
Kuwa Mc ni kushiriki soka? Yaani kuita "Abdalla njoo" unakuwa umeshiriki soka? Hizi sheria mmesomea chuo gani nyie. Hii kesi inashindwa kwenye Mahakama huru kabla ya saa 4 asubuhi. Hivi shabiki mmoja angemtukana Feitoto angeitwa na TFF? Au muuza karanga angemkanyaga mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam, ingekuwa soccer case?
Yanga bana,
Msinifanye niamini maneno ya Manara kua mwenye akili timamu pale ni Baba yake na Mzee JK tu.

Hivi pale hakuhusika kweli kwenye tukio? Yaani tuseme kwa akili yako ya ki Yanga Yanga, lile tukio Zima la Wanachi Day kuanzia Mashabiki, timu, watumbuizaji, madansa wao, marefa, ma MC, watangazaji, mabaunsa, etc nani unaweza kusema kahusika kwenye tukio na nani hajahusika?
 
Kipindi cha huko nyuma yanga wamewahi kuitwa kamati ya maadili au hawakuwahi? Kama waliwahi kuitwa je alikwenda Mshindo msola?🙏🙏🙏🙏
Unayo kopi ya hiyo barua tusome tumalize mjadala hapa
Tujue barua ilikuwa inasemaje?
 
Maneno yanaumba ukimtoa kikwete na baba manara mashabiki wote wa Yanga hawana akili hii kauli ina ukweli ndani yake wengi mashabiki wa Yanga oya oya
Nina mashaka na elimu ya huyu Hersi naanza kumuona hamna kitu huwezi kukubali kubeba mzigo wa mavi manara ni mzigo wa mavi habebeki na ukibeba mavi lazima utanuka tu ndio kinachoenda kutokea kwa hersi
Pili hapa TFF tunataka kuona ukubwa wenu mkishindwa kumuadhibu manara kwa mara ya pili mtaakuwa mmefeli vibaya na msije kutegemea kama kuna mtu atawaheshimu tena
Tunataka kuona haki inatendeka wengine muwafungie ila manara asifungiwe yeye nani hata kama analeta hamasa sijui ndio awe kiburi awe hafati sheria
NB Yanga ikifa mpira utashuka lkn ninachojua itaibuka timu nyingine kuichallenge Simba na Simba ikifa mpira utashuka ila itaibuka timu nyingine kuichallenge Yanga hivyo iwe Simba au Yanga na viongozi wake wakifanya makosa waadhibiwe ili kujenga nidhamu na tukiweka nidhamu uhuni kama waliofanya Jana Yanga utapotea mara moja
 
Back
Top Bottom